Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nimeipost hiyo post Q1 lol, Half time jamaa(Boston) wanatrail 18 pts.
Boston kwishnehi....ngoja niangalie mieleka ya WWE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipost hiyo post Q1 lol, Half time jamaa(Boston) wanatrail 18 pts.
Boston kwishnehi....ngoja niangalie mieleka ya WWE
haha babu bado unaangaliaga mieleka tuu? Last nimeangalia hizo kitu ni wakati wa mechi ya Undertaker na mjuba mmoja, jamaa akamsokomeza Undertaker kwenye jeneza lake alilokija nalo.
ngoja niangalie mieleka ya WWE
Ebanae halafu leo nimekwea pipa na John Cena. Jamaa ni kavimba balaa.
Si ndio hapo! Jamaa mpaka leo bado anaangalia "Monday Night Raw." Kaazi kweli, sijui atakuwa lini!!
Naona musee wa "Peoples Elbow" anataka masifa kaa nini sijui.....lakini game bado sana, Celtics wataibuka tu!
In Boston, We believe........its a 10 points game!! Go Celtics!
Acha njozi wewe...mwangalie Halle Berry hapo (na wewe kuapata totoz kama huyu ni njozi)
Nenda kule kwa mafisadi ukamlambelambe miguu "kaka yako" Mwanakijiji...mie na nyapu, Halle anaonekana "tx" flani!
We believe, its a six points game..go Celtics!
Tulia wewe....hebu safisha macho hapa.....
YouTube - Hurricane Chris "Halle Berry" (Shes Fine) Official Music Video
YouTube - Halle Berry dancing to "She's Fine" on Ellen
Heheh pole Sasha naona mmechezea kichapo!
Heheh pole Sasha naona mmechezea kichapo!
tsk tsk tsk tsk (like she put it)....naona leo Sasha kagoma kuja barazani...
Eti Sasha, ni kweli kuwa 80% ya timu inayoshinda gemu 1 inashinda series?
Who cares na hizo stats? Unakumbuka finals za 2001 kati ya Lakers na Sixers? Au bado ulikuwa unaangalia ITV bongo?
Bwahahahahahahaha, alikuwa Dallas anambebea koti Mponjoli!! Wakati watu wanaangalia game ndani, yeye alikuwa anakaa nje kupiga chabo ya Po-po wasiwapige ambush...LOL