NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
Nilishasema wanaume wa kitanzania wafupi sana kwangu jamani eeh so chill out Yournameismine.

Generalization...and insultation!! Kwa sababu wote uliambatana nao ni wafupi, haina maana ya kuwa wote ni wafupi. Watchout!!!
 
Hahahahaha wewe bwana, kama hiyo ndio ishu, basi watu watavaa "visturi...."!! LOL
 
Generalization...and insultation!! Kwa sababu wote uliambatana nao ni wafupi, haina maana ya kuwa wote ni wafupi. Watchout!!!

Mfano mzuri wewe mwenyewe you dod admit kuwa youa re 5"6 alafu unasema insult how come buddy? tsk tsk tsk tsk i got you.
 
Hahahahaha wewe bwana, kama hiyo ndio ishu, basi watu watavaa "visturi...."!! LOL

Imagine hapa nilipo 5"11 alafu sijaongeza raizon ya hata 4 inches hebu niambie inamaana utafanya nivae makubasi.

Alafu nina mshikaji huko Boston ila sijaongea naye muda kidogo sijui kama bado yupo au alirudi bongo.
 
Mfano mzuri wewe mwenyewe you dod admit kuwa youa re 5"6 alafu unasema insult how come buddy? tsk tsk tsk tsk i got you.

Yeah...lakini si unajua dada kibonge ukimwita kibonge huwa anakasirika. Unafikri ni kwa nini? Kwa hiyo naomba usiusonye uandunje wangu....lol

All in all, hata kama nimekwambia mimi ni mfupi, haina maana wanaume wote wa kibongo ni wafupi. So, hapana generalization bana.....
 
Kama ni mfupi mfupi tuu kwa nini sasa ukasirike,ukikasirika ina maana upo insecure angalia too short mwenzenu na ufupi wake bado anafurahia na amejiita tooshort.wale wadada wabonge wanataka uwaite big girls lakini usiseme fat.ni kama wale mbilikimo wanataka kuitwa little peopole lakini siyo dwarf.

tsk tsk tsk tsk wala siucheki uandunje wako tsk tsk tsk LMAO!.Si ndiyo ulivyozaliwa wewe unadhani miye napenda huu urefu?disadvantage yake nakosa potential hubby LOL!.Take it easy.
 
Imagine hapa nilipo 5"11 alafu sijaongeza raizon ya hata 4 inches hebu niambie inamaana utafanya nivae makubasi.

Alafu nina mshikaji huko Boston ila sijaongea naye muda kidogo sijui kama bado yupo au alirudi bongo.

Hahahaha una mshkaji au washkaji!? Yule mmoja kesharudi bongo mwaka wa tatu sasa (fisadi yule anafanana na Rostam Aziz), vegas connection yupo mbioni, mwingine yule ndio kwanzaaaaaaaaa ana "jenga" kibanda!! Kama ni mie basi kaa ukijua sirudi bongo ng'o kwenye ufisadi!! LOL
 
tsk tsk tsk tsk i am so lost.are you serious ni wewe?kweli milima haikutani mlikuja kwangu na mshikaji wangu wa vegas ndiyo alafu nikawapikia ooh my god.

umeniacha kwanza nataharuki ngoja kwanza nishushe my blood pressure.Alafu i told my sister jana nitakucheck,unajua tena ubize fulani.
 
Miyeyusho wewe.....ndio maana nikakualika Boston town, halafu unarukaruka na mbwembwe mingiiiiiiiiiiiiiiiii!! Basi mie nitakupigia msele tukale kuku pale University of Nanilii kama siku ile, halafu debe Jillians au pashafungwa?? Chalo yupo? We kama vipi nicheck, summer ndio hii ishaingia...πŸ˜€
 
Heheheheheheeee....kumbe nyinyi mashosti....
 
Mnabishana sana kama ndugu zenu kwenye jukwaa la siasa, yani leo hapa ni furaha tupu wewe YNIM najua ni shabiki wa Chelsea na kesho ni kichapo kwa kwenda mbele.

Leo ni Arsenal for dinner and Cavaliers for dessert go Hawks!!!
 
Aaaah kumbe ume maindi!? Haya pole sana.......

heheheheheeee...kumbe dhumuni lako lilikuwa kuniumiza na hiko kitusi chako...too bad I don't get easily offended....

imeze hiyo pole yako..inaweza ikakusaidia na depression yako
 
Mnabishana sana kama ndugu zenu kwenye jukwaa la siasa, yani leo hapa ni furaha tupu wewe YNIM najua ni shabiki wa Chelsea na kesho ni kichapo kwa kwenda mbele.

Leo ni Arsenal for dinner and Cavaliers for dessert go Hawks!!!

NN huyo! Sisi tushamzoea, hachelewi kuchafua hali ya hewa....Chelsea, Yanga Africa, Indiana Colts, Boston Red Sox, St. Louis Rams, Boston Bruins na NE Patriots, hayo ndio ma-chama yangu!! Ila siku hizi kuna dogo mmoja anaitwa Mario Boratelli(!??) anacheza Internacionale Milano (Inter Milan) namzimia sana jinsi anavyozungusha ball, kiasi naanza kupenda Inter....

NN kama hujaelewa nenda ka-google...😎
 
Yeah Boratelli anasukuma ngozi nakumbuka wakati Inter anakiputa na Red Devils walimuingiza kama sub, hahah umenichekesha sana eti kama NN hujaelewa ka-google umenikumbusha few days ago msee alimuulizia John Fashanu kwlei soka limempitia kushoto.
 
Unawajua akina Gianfranco Zola, David Rocastle, Peter Shilton, Bruce Grobelaar, Paolo Rossi, Roberto Baggio, John Barnes..etcetera
 
Unawajua akina Gianfranco Zola, David Rocastle, Peter Shilton, Bruce Grobelaar, Paolo Rossi, Roberto Baggio, John Barnes..etcetera

Kumbe wewe ni historian mzuri tu...LOL!! Acha mambo ya zilipendwa, watu wanaongelea mambo yanayotokea sasa na sio karne ilopita!! Usikute unataka kutuletea stori za St. Louis Hawk, Brooklyn Dodgers, Los Angeles Rams e.t.c!! Hahahaha....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…