Quemu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 984
- 133
QM unaona tunavyowafundisha Arsenal?
Haaaa bana ushabiki wa soka ushanishinda. Kale kababu SAF ni kachawi sana. Si bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
QM unaona tunavyowafundisha Arsenal?
Nilishasema wanaume wa kitanzania wafupi sana kwangu jamani eeh so chill out Yournameismine.
Yournameismine mimi huwa sitolei macho kihivyo vitu kama hivyo ni vitu vidogo sana watu wanapiga st tropez,riodejaneiro,brazil,Ma-Italy zile sehemu za kishuwa.Alafi Icadon pia anaonekana siyo mtu wa kurusha mateke he is a cool guy kama nyie wote i like you all like my brothers.Nilishasema wanaume wa kitanzania wafupi sana kwangu jamani eeh so chill out Yournameismine.
Generalization...and insultation!! Kwa sababu wote uliambatana nao ni wafupi, haina maana ya kuwa wote ni wafupi. Watchout!!!
Hahahahaha wewe bwana, kama hiyo ndio ishu, basi watu watavaa "visturi...."!! LOL
Mfano mzuri wewe mwenyewe you dod admit kuwa youa re 5"6 alafu unasema insult how come buddy? tsk tsk tsk tsk i got you.
Yeah...lakini si unajua dada kibonge ukimwita kibonge huwa anakasirika. Unafikri ni kwa nini? Kwa hiyo naomba usiusonye uandunje wangu....lol
All in all, hata kama nimekwambia mimi ni mfupi, haina maana wanaume wote wa kibongo ni wafupi. So, hapana generalization bana.....
Imagine hapa nilipo 5"11 alafu sijaongeza raizon ya hata 4 inches hebu niambie inamaana utafanya nivae makubasi.
Alafu nina mshikaji huko Boston ila sijaongea naye muda kidogo sijui kama bado yupo au alirudi bongo.
Hahahaha una mshkaji au washkaji!? Yule mmoja kesharudi bongo mwaka wa tatu sasa (fisadi yule anafanana na Rostam Aziz), vegas connection yupo mbioni, mwingine yule ndio kwanzaaaaaaaaa ana "jenga" kibanda!! Kama ni mie basi kaa ukijua sirudi bongo ng'o kwenye ufisadi!! LOL
tsk tsk tsk tsk i am so lost.are you serious ni wewe?kweli milima haikutani mlikuja kwangu na mshikaji wangu wa vegas ndiyo alafu nikawapikia ooh my god.
umeniacha kwanza nataharuki ngoja kwanza nishushe my blood pressure.Alafu i told my sister jana nitakucheck,unajua tena ubize fulani.
Miyeyusho wewe.....ndio maana nikakualika Boston town, halafu unarukaruka na mbwembwe mingiiiiiiiiiiiiiiiii!! Basi mie nitakupigia msele tukale kuku pale University of Nanilii kama siku ile, halafu debe Jillians au pashafungwa?? Chalo yupo? We kama vipi nicheck, summer ndio hii ishaingia...😀
Heheheheheheeee....kumbe nyinyi mashosti....
Mbona matusi ya rejareja tena...?😡
nani kaanza matusi? wewe si umeniita mimi ms#n$e? halafu toka lini 'shosti' limekuwa tusi
Aaaah kumbe ume maindi!? Haya pole sana.......
Mnabishana sana kama ndugu zenu kwenye jukwaa la siasa, yani leo hapa ni furaha tupu wewe YNIM najua ni shabiki wa Chelsea na kesho ni kichapo kwa kwenda mbele.
Leo ni Arsenal for dinner and Cavaliers for dessert go Hawks!!!
NN huyo! Sisi tushamzoea, hachelewi kuchafua hali ya hewa....Chelsea, Yanga Africa, Indiana Colts, Boston Red Sox, St. Louis Rams, Boston Bruins na NE Patriots, hayo ndio ma-chama yangu!! Ila siku hizi kuna dogo mmoja anaitwa Mario Boratelli(!??) anacheza Internacionale Milano (Inter Milan) namzimia sana jinsi anavyozungusha ball, kiasi naanza kupenda Inter....
NN kama hujaelewa nenda ka-google...😎
Yeah Boratelli anasukuma ngozi nakumbuka wakati Inter anakiputa na Red Devils walimuingiza kama sub, hahah umenichekesha sana eti kama NN hujaelewa ka-google umenikumbusha few days ago msee alimuulizia John Fashanu kwlei soka limempitia kushoto.
Unawajua akina Gianfranco Zola, David Rocastle, Peter Shilton, Bruce Grobelaar, Paolo Rossi, Roberto Baggio, John Barnes..etcetera