William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
FMES
Kobe anatakiwa kuiondoa Rockets kwanza. This series is too far from over !Please don't make a mistake by counting them Rockets out. Rockets are going to disappoint many people who are anxiously waiting for the showdown between Kobe and Lebron..........Go Rockets!
Kweli Lakers mdebwedo. A championship franchise haiwezi kufungwa kwa point zote zile...tena wakati 2 of the opponent franchise players (T. Mac and Y. Ming) are out... what a shame!!!
Sasha & YE naomba tu msinizike 50 zangu...chonde chonde...
Ha ha ha chonde chonde na $50 zako ha ha ha ha Kobe alias Black mamba can't win without SHAQ. This is the year for KB to prove that he can win without SHAQ, can he do it!? Only time will tell.
Hapa leo kimya naona mzee wa Kimbiji yuko bize sijui.
wewe nawe kwa kujifanya gangsta....
Umenikumbusha album ya 400 Degreez hahaha, ebanae duh mpaka leo bado ninayo hiyo cd , kwenye hiyo album kulikuwa na another hit Back that thing up as well.
We acha tu...huu Mnyani nyani Ngabu haujui mambo hiyo!! Jamaa ni toto la mama "friji open," hajui mambo ya goodtyme, kazi kushinda kwenye internet kumlambalamba Mwanakijiji...LOL
Kwa hiyo unataka kusema jamaa ni shambaboy wa yule mwanasiasa?
NN kalale unafikiria basketball ni kuvaa vipuri masikioni......kawafundishe hawks draft huko sio size yao......
mbona matusi ya nguoni......monica hajatua sana....ila hio keyshia ina figure kali na ngozi saafiSorry idol wako soja boi hakuwepo.....