William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
FMES kuna ile game ulisema ulishaenda kulala ukijuwa Magic wameshinda na ukajakushangazwa eti kwanini LB alibeat the buzzer...Ulinishangaza sana kama wewe ni mpenzi wa basketball eti ulienda kulala wakati game diffrence ni only a point na bado kuna seconds za kuplay,hata soka yenyewe si hivyo ni hadi kipenga cha mwisho..Kama wewe si mshabiki wa LB simamia pointi yako si uwe kigeu geu.
Nadhani ni baadhi ya plays anazozi make pamoja na style yake ya uchezaji ndio maana wanamfananisha na baadhi ya hao ma superstar,si kwasababu ya accomplishments,hilo liko wazi.
- Lebron kumbe ni mtupu phew! Vipi leo wazee wa tattoos na Kobe? Nawafagilia the tattoos kama kawa!
FMEs!
Leo Yo Yo Tell 'em hajaamka kuangalia gemu?
Ana hang over ya kutoka jana....alikuwa Phillips arena jana...
aaah hii game ya orlando na cavs mbona ipo muda mbaya?
8:30 PM ET majuu......3:30AM hapa......Kivipi...?
8:30 PM ET majuu......3:30AM hapa......
ile game si ilikuwa west masaa tofauti na east....siku ile mbona uliamka....
Siwezi kum-count out yet kwa sababu ma-star wanakuwaga na bad game day. Nadhani ulimuona Carmelo jana. Kwa hiyo LBJ anaweza na yeye akafanya mambo. Nadhani unaona na Kobe huwa anachemsha game zingine. Lets wait and see tonight.- Vipi wakulu leo Lebron anaweza kumpita Tokoglu? Mimi sasa siamini tena kama jamaa anao uwezo , kumbe zile timu za mwanzoni kama Detroit zilikuwa ni mbofu mbofu, kijana bado anahitaji msasa zaidi, au?
Respect.
FMES!
kazi ipo.......magic nawaaminia na michomo ya 3 points......Cleveland wanachukua first quarter 25 - 21
kazi ipo.......magic nawaaminia na michomo ya 3 points......