NBA Playoffs

NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
Haya weekend njema waungwana miye ndiyo najianda akuelekea ma-aiporti thatha hivi.

Mungu akijaaliwa basi au siyo.leo naingalia mechi kwenye big screen tsk tsk tsk tsk.haya family Nyani ngabu,Icadon,QM,Yournameismine stay blessed.catch you when i come back.

Dont do anything that i wouldn't do ok.
 
Icadon umepigwa bao aisee... ndege huyoo anapaa anaelekea mitaa ya New England...

Gademu!! YournameisMwizi has this chick on lock...

Usikonde Icadon....nina m Dominican extra hapa...holla
 
Duh hilo bao amepiga wakati wa kupasha misuli moto, maana ata kwenye locker/dressing room sijatoka(meaning mechi haijaanza).

Sasha, msalimie M mwambie mmoja wa wanafunzi wa zamani wa late mwalimu anamsalimia.
 
- Wakuu vipi sasa ni confirmed Kobe na King Lebron Finali au? Maana nilimuona Lebron jana akiwatwanga Hawks kama watoto wadogo, nina wasi wasi huenda akashinda the whole thing, au?

FMES!
 
mkuu lebron ni mkali tena sana na kobe nae ni mkali sana tu....tofauti moja inakuja kobe ni unstopable.....kuna kitu alikifanya juzi na rockets yao alibaki anashangaa maana alijipa pasi mwenye na ku score...

..nafikiri hawa wakutane fiinali kukata ngebe nani mkali....
 
Hakuna lolote.... kobelo ni michael jordan wanna be. Yaani yeye ana dream mbili tu. (1) ni kutransform basketball game to another level kama alivyofanya mj. (2) kuwin title bila ya shaq. Tatizo ni kwamba ndoto zote mbili zimegonga mwamba.
 
Huyu YourNameisPanja yuko wapi? Timu yake Cel-tits inapulizwa tu na Magic. Wanamuitaji huko aka-cheerleading....
 
Heheheeh sasa huo uchokozi...tangu lini jamaa kawa cheerleader?
 
Huyu YourNameisPanja yuko wapi? Timu yake Cel-tits inapulizwa tu na Magic. Wanamuitaji huko aka-cheerleading....

Maneno semeni, lakini fwact ni kuwa "sisi" kutoka kwenye HUB, the historic GREATER BOSTON AREA, bado tuna enjoy ubingwa wetu wa msimu ulopita...

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=IVH44MC7bjQ&feature=PlayList&p=2380E22FB4703F5C&playnext=1&playnext_from=PL&index=1]YouTube - Boston Celtics Pop Bottles Remix by Akrobatik[/ame]

....halafu series bado haijaisha! In Boston We Believe, Go Celitics....🙂

What!??
 
- Wakuu vipi sasa ni confirmed Kobe na King Lebron Finali au? Maana nilimuona Lebron jana akiwatwanga Hawks kama watoto wadogo, nina wasi wasi huenda akashinda the whole thing, au?

FMES!

FMES

Kobe anatakiwa kuiondoa Rockets kwanza. This series is too far from over !Please don't make a mistake by counting them Rockets out. Rockets are going to disappoint many people who are anxiously waiting for the showdown between Kobe and Lebron..........Go Rockets!
 
Duh hilo bao amepiga wakati wa kupasha misuli moto, maana ata kwenye locker/dressing room sijatoka(meaning mechi haijaanza).

Sasha, msalimie M mwambie mmoja wa wanafunzi wa zamani wa late mwalimu anamsalimia.

Usikonde wala nini kachala, hamna cha bao wala kitu chochote..mie na Sasha we're goin' waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaay back, yaani ni mshkaji kiasi kwamba ni kama sista tu usawa huu!

We endelea tu kwa raha zako na usiwasikilize hao wafitinishi ( NN na Quemu ni full majungu...)!! Sema ukimkoroanya (ukimkoroga donya), ujue nitakupa mashuti ya mbavu....LOL
 
FMES

Kobe anatakiwa kuiondoa Rockets kwanza. This series is too far from over !Please don't make a mistake by counting them Rockets out. Rockets are going to disappoint many people who are anxiously waiting for the showdown between Kobe and Lebron..........Go Rockets!

Ameeen, true that mayn! Halafu mie bonge la mshabiki wa "Tru Warrier," Ronald William "Ron" Artest Jr....

Go Rockets...
 
Haya wapendwa nimefika salama salmini kwenye trip yangu.

Juangalia game on big screen raha sana.Nikasema ngoja niwacheck kidogo niangalie mnaugulia vipi.Si mnaona vitu hapo lakers wanavyotatoa jasho hao rocket? 54 sec left lakers leads for 8 point.Oh yao ming yao ming and then what? si munamuona Yao ming mwenyewe analia kwenye national tv kama mtoto.mumekwishaaaaaa.

weekend njema.
 
Yuuuuuu mabitozi wa dirty south niaje.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom