Sasha Fierce
JF-Expert Member
- Feb 7, 2009
- 361
- 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game 7 kati ya Lakers na Houston ndiyo inaanza. Lakers wana nafasi nzuri kwa kuwa wapo nyumbani, lakini chochote kinaweza kutokea. Enjoy the game.
Hey BAK, naicheck game, 2nd qt Lakers 24 Hou 13.......yeah Lakers wana chance kubwa!
Its not over yet, anything can happen.Naona game imekwisha hata kabla ya half time. With 3 minutes to go before half time, Lakers are leading 43-26. Labda game ya Celtics na Orlando baadaye leo itakuwa na ushindani zaidi.
Its not over yet, anything can happen.
Kwa game waliyocheza Rockets by now Lakers ilibidi wawe wana lead 30+ points. Aynways I still believe, siwezi kufa moyo, hata kama wakishindwa sio mbaya.Do you think so Lusajo? Right now, Lakers are leading by 20 points (51-31) and they are at home. Houston are missing so many easy shots. In my opinion this game is over, but you may be right let's wait and see.
Kwa game waliyocheza Rockets by now Lakers ilibidi wawe wana lead 30+ points. Aynways I still believe, siwezi kufa moyo, hata kama wakishindwa sio mbaya.
On Sunday they are going to be the Rickets...
Ni kweli kabisa Lakers walistahili kuwa mbele kwa more than 40 points. Houston wamejitahidi kadri ya uwezo wao ukitilia maanani wafungaji wao wazuri Yao Ming na Mcgrady ni majeruhi na pia rebounder wao mzuri sana Mutumbo wa matombo naye pia ameumia. Lakers watakuwa na wakati mgumu sana katika series yao na Denver maana Denver sasa hivi wanacheza vizuri sana.
Yeah...bado kweli....
- Vipi lakini mwanzoni nilifikiri itakuwa a piece of cake kwa Magic mpaka alipoingia Ray Allen naona amekuwa the X factor kwa Boston kurudi kwenye game, au?
...ina maana moja tu kwamba toka mwanzo, Lakers walikuwa interested in making money kwa kufikisha game 7 na sio ushindani maana haukuwepo na haupo kabisaa, aibuu kwa NBA kama wanahusika na kupanga hizi match, nimeusubiri huu mchezo wka hamu kubwa na kuja kupata hii disappointment, inaudhi kweli!
McGrady na Ming ni banged up going up against the deepest and most talented side in the West.
Nuuu uuuh...Lakers..."the deepest and most talented in the West"...Naah...I disagree! Denver wamekamilika na si timu ya mtu mmoja kama ilivyo LA.