NBA Playoffs

NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
Walima machungwa leo lazima wawaenyeshe hawa waungwana.
 
Yo Yo umepotelea wapi, au pressure imepanda...?
 
Magic escape with an Orlando victory!!!!!!...114 - 116

Dominating factor: Dwight Howard.
X-Factor: M. Petrius.

Go Magic goooooo!!!!!!!!
 
Hakuna cha ku escape wala nini....ni kwamba wameshinda, period.
 
Wale washabiki wa Cavs wakati inacheza na Hawks wamekimbilia wapi?

Unajua hawa walima machungwa wako balanced vizuri sana...angalia hata point spread zao....kila mchezaji ana step up na hakuna mmoja anaye dominate kutundika points...

Cleveland ukimwondoa LeBron hakuna timu Cleveland
 
nshastukia kid james anapedwa sana na media.......
 
Unajua hawa walima machungwa wako balanced vizuri sana...angalia hata point spread zao....kila mchezaji ana step up na hakuna mmoja anaye dominate kutundika points...

Cleveland ukimwondoa LeBron hakuna timu Cleveland
hili chama limekamilika kila idara....hawategemei mtu mmoja...nuggets v/s. magic final
 
Wakuu...kwa kila namna this was the series ambayo the Cavs was suppose to win. Kupigwa bao na Orlando Magic 3-1 tena na timu iliyo struggle against Boston Celtics kwenye second round timu ambayo haikuwa na its most important player Kevin Garnet inaonyesha ni kwa kiasi gani CAVS ilikuwa imejengwa ku win regular season, badala ya Playoff season especially baada ya round ya kwanza na ya pili. Hii timu ya sasa ni very weak. Ukimuondoa Lebron na labda Mo Williams, wengine ni kama zima moto tu.. Some nights they show up some nights they don't. Mfano mzuri ni Zydrunas Ilgauskas 7-3 big man ambaye ana average 10 points a game. Hamsaidii Lebron hata kidogo. To soft.
The Cavs don't have the answer to 2 Orlando Magic best shooters...Rashard Lewis na Hedo Turkoglu na wala the Cavs hawawezi kuzuia ball rotation ya Orlando Magic.
Its obvious kwamba Orlando Magic watawapiga bao Cavaliers kwenda kwenye NBA finals, na huo bdio utakuwa mwisho wa Lebron James kwenye jezi ya Cavs. He will after next year go to another team....Si unakumbuka he and Dwane Wade, each signed a 3 year deal instead of six a few years ago? Tusiburi tuone. Lakini this is it for the Cavaliers...they have nobody to aide Lebron.
 
hili chama limekamilika kila idara....hawategemei mtu mmoja...nuggets v/s. magic final

I second that...Kesho Nuggets (the most inked team (tattoos)) watawapiga bao Lakers...series would end in 6 games and they will go to the finals vs. Orlando Magic.
 
- It is over, The overrated Cavs sasa wamefika mwisho Lebron amejitahidi sana lakini bado hana uwezo wa kutosha kushinda NBA, poleni sana wapenzi wa Cavs, hata mimi ameni-disappoint sana jamaa!

FMES!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom