IT CAN BE A MOTIVATIONAL TOOL AS WELL...IT COULD GO EITHER WAY...
NDIO HIVYO TENA,The NBA Accredited Media MEMBERS wamemchagua ''The Spurs` Future Face of the Franchise''.Hata hivyo it was a close race....Kahwi amepata 37 first place votes,D.G KAPATA 45 FIRST PLACE VOTES....But in totality Kawhi had more points than DG.
nimefarijika sana,nimefurahi sana......i love the facts that they keep on proving to all the doubters...
the third largest 4th quarter comeback in NBA History......awesome fact...
Coach wa GSW last game alisema (najaribu kuweka maneni yake vizuri) kwamba team yake ni team ambayo at times inacheza very explosively na kuna times wanacheza mediocre flow (kuna neno alitumia hapa). So hawa jamaa sio tu contenders ni a team to beat (na sio tu kui'beat single game, sweep them kama utaweza of which I see as stuff of imagination)
Wacha wahuni waendelee kuwapa kichwa hao Spurs..
Eti defending Champs hahahahaha
Raimundo vipi bado hujaukubali mziki??
This is just the first round, team mnayocheza nayo ni ngeni playoff ndiyo maana wanaweza kublow up 20 points in just one quarter!
Mnaenda kukutana na Memphis next round, huu ndo utakuwa mwanzo wa kipimo chenu kwenye kuelekea ubingwa.
Coming from a 20pts 4th quarter deficit in a road game like that, is a win my friend! A win is a win even if it's going to be counted by all the haters as some kind of a Phyric victory!
I know it, bru!. Maybe I might have been wrong to use it as an allegory!. But a win is a win, let's stop there!
That's right, a win is a win and that last night can never be described as a Pyrrhic victory.
hahahahahaha utaambiwa Pelicans wabovu
BAK ngoja nicheke kiasinali khe khe kheeeeeee
Namsubiri huyo Spurs mnayemtegemea..
Baadae mtaamia kwa Cavs..