NBA Season 2014/2015

NBA Season 2014/2015

Very emotional cp3..............
 
Congrats are in order for CP3 and co.

Super big to Timmy and co. also and hopefully he comes back for his swan song next year to make amends and bow out a champion.

Now we move on to the semis.
 
haya nilihamia spurs kwa mkopo nako tumepiga mbizi kwenye kokoto...
kule nako AC Milan dhoof lihali...

dah ama kweli siku ya kufa Mbwa pua zote zinaziba
 
Tehtehteh me 2 na vibega vyake na kugonngesha peni kwenye meza.

I like Skip though.

Stephen A. so so...he gets on my nerves sometimes.

Ila hivyo ndivyo champs wanavyotakiwa kutoka.

Kutoka kiume mpaka sekunde za mwisho kabisa.
 
maxresdefault.jpg
d7553392b05111e19894123138140d8c_7.jpg
 
Wizard stole home court advantage by winning game one of the 7 game series.
 
Naona leo cha moto mnakiona, mkifanya mchezo mtapoteza hii game.

Teh teh teh...you kinda late bruh.

The game is over and the Wizards have taken game 1.

But yo, this Wizards team is no joke.

Now imagine Kevin Durant goes home (next year/ season?).

You are talking about a championship caliber team.

But we still have 7 more games to go and I won't front.

I didn't expect the Hawks to go far in these playoffs and I will be pleasantly surprised if they do.
 
Nimeangalia game yote na mlivyokuwa mnaongoza half ya kwanza sikudhani kama mtapoteza mchezo huu wa leo. Game 2 ndio inaanza. Mna timu nzuri yenye uwezo wa kushinda popote pale but this should be a wake up call that regular season is over.

Yeah nakubaliana nawe.

Hata mimi nilidhani tutashinda maana hadi kufikia kuanza robo ya nne bado tulikuwa tunaongoza.

Ila sidhani kama kuna watu wanaodhani kwamba Hawks watafika mbali maana nao wako inconsistent sana.

Lakini bado series ni changa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa maoni yangu na Wizard wanastahili kushinda ila kama watapita, ngwe inayofuata ndiyo itabidi wajizatiti zaidi maana haitakuwa rahisi.

mchaka mchaka unamchanganya ZBOW and co.
 
Kwa maoni yangu na Wizard wanastahili kushinda ila kama watapita, ngwe inayofuata ndiyo itabidi wajizatiti zaidi maana haitakuwa rahisi.

Yeah hususan kama wakikutana na Cavs maana zile njemba mbili (LeBron na Kyrie) ni moto wa kuotea mbali.

Sitarajii Chicago wavuke kihunzi cha Cavs but you never know.

Ubaya wa basketball huwa hakuna upsets kwa sababu ya huu utaratibu wa series.

Ndo maana napenda zaidi ligi ya NFL kwa sababu hakuna cha game 2 wala baba yake game 3.

It's one and done na nadhani pia ndio sababu inayofanya football iwe the most popular sport in the US.

Basketball ipo nyuma hata ya baseball kwenye popularity.
 
With San Antonio's exit last night the road to the western conference finals for GSW is clear, barring any injuries, of course.

Even this game is looking like it's going to be a runaway.

It sucks.
 
amazinng GSW....Anybody can step up
 
Back
Top Bottom