NBA Season 2014/2015

NBA Season 2014/2015

Nilisema mchezo ambao sitakuja kuuangalia ni American Football. Kwanza nilikuwa sielewi kitu kisha nilikuwa naona jamaa wanabamizana tu hata kwenye pre season utasikia mcheza kaumia hatakuwa available tena kwa season yote.

Nikaanza kuufuatilia taratibu na kuanza kujua sheria zake sasa hivi ni mshabiki mkubwa. Kuna baadhi ya games kwenye regular season sitaki kuzikosa na kwenye playoffs sikosi game hata moja. Superbowl ni sikukuu kwangu kuanzia asubuhi mpaka mechi inapoanza. Pamoja na hayo bado soka ndiyo baba wa michezo yote. Yaani ukiniambia kuna mechi ya soka na mechi ya American football na zote zitakuwa bomba sana ila nichague moja ya kuangalia basi kandanda itashinda siku yoyote ile. Hata kama magoli ni 0-0 1-0 1-1 lakini kama mchezo ni bomba burudani yake ni kubwa sana.

Mwaka huu tutacheza na Giants kwenye regular season.

Sina uhakika kama mechi itakuwa Foxboro au MetLife stadium.

But I can't wait.

Halafu kwenye head to head match up kati ya Tom na Peyton, Brady is 11-5.

So it's safe to say Tom owns Peyton.
 
Nilisema mchezo ambao sitakuja kuuangalia ni American Football. Kwanza nilikuwa sielewi kitu kisha nilikuwa naona jamaa wanabamizana tu hata kwenye pre season utasikia mcheza kaumia hatakuwa available tena kwa season yote.

Nikaanza kuufuatilia taratibu na kuanza kujua sheria zake sasa hivi ni mshabiki mkubwa. Kuna baadhi ya games kwenye regular season sitaki kuzikosa na kwenye playoffs sikosi game hata moja. Superbowl ni sikukuu kwangu kuanzia asubuhi mpaka mechi inapoanza. Pamoja na hayo bado soka ndiyo baba wa michezo yote. Yaani ukiniambia kuna mechi ya soka na mechi ya American football na zote zitakuwa bomba sana ila nichague moja ya kuangalia basi kandanda itashinda siku yoyote ile. Hata kama magoli ni 0-0 1-0 1-1 lakini kama mchezo ni bomba burudani yake ni kubwa sana.

Nimeshakutana na watu wengi kiasi ambao nao walikuwa na mtazamo kama huo wako wa awali.

Lakini baada ya kuanza kufuatilia michezo na kuzijua sheria zake wamekuja kuwa wapenzi wakubwa sana.

Huwa naburudika sana ufikapo msimu wa Fall.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Si unajua tena umekulia kwenye soka halafu unakutana na mchezo hujui chochote kisha wanajishindilia helmets ili kujiprotect na dhoruba lol! Basi unabaki kushangaa tu kuona mchezo jinsi ulivyo maarufu na kupendwa na wengi wakati unauona ni kituko tu, ukija kuufahamu basi unaunga tela. Hata UK sasa hivi umeanza kuzoa wapenzi wengi sana kutokana na zile mechi za preseason na regular season.

Nimeshakutana na watu wengi kiasi ambao nao walikuwa na mtazamo kama huo wako wa awali.

Lakini baada ya kuanza kufuatilia michezo na kuzijua sheria zake wamekuja kuwa wapenzi wakubwa sana.

Huwa naburudika sana ufikapo msimu wa Fall.....
 
Aisee Blake Griffin kai-improve sana game yake.

Nikikumba jinsi alivyokuwa baada ya kuingia NBA ile miaka ya mwanzo na sasa, ni kama wachezaji wawili tofauti kabisa.

Siku hiz kawa shooter mzuri sana na hakuna tena mambo ya hack-a-Blake.
 
ALL SERIES TIED.............NOW THATS WHEN YOU REALIZE YOU ARE IN THE POST SEASOn...
 
Back and forth game between CAVS and Da Bulls, 4.24 mins to go Da Bulls 89 CAVS 86
 
What a game...

Bulls na Cavs...

Bulls wins
 
What a game! Da Bulls lead series 2-1, 4 games to go, next game 3 between Clippers and Houston.
 
That's the kinda game I like...one that goes down to the wire and not those runaway ones.

Now I'm not sure who's gonna win that series 'cause the Bulls appear to be playing at such a high level and the Cavs seem to have dropped a notch after losing Kevin Love to the shoulder injury.

These series games can be seesaws at times.

And have you noticed that in these semis after game 2, all the eight teams are/ were tied 1-1?

That's how playoff basketball is supposed to be.

Btw, did you watch the Inside the NBA lip-synch battle held the other day at the TNT studios in Atlanta, GA?

It was pure hilarity!

I always enjoy the lively banter between all those guys.

Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Clippers naona anawawashia moto Rockets...
 
Thanks for sharing this utube link. I agree with you that playoffs games should be at a different level compared to regular season games. CAVS should pull up their socks or another upset is just around the corner.

That's the kinda game I like...one that goes down to the wire and not those runaway ones.

Now I'm not sure who's gonna win that series 'cause the Bulls appear to be playing at such a high level and the Cavs seem to have dropped a notch after losing Kevin Love to the shoulder injury.

These series games can be seesaws at times.

And have you noticed that in these semis after game 2, all the eight teams are/ were tied 1-1?

That's how playoff basketball is supposed to be.

Btw, did you watch the Inside the NBA lip-synch battle held the other day at the TNT studios in Atlanta, GA?

It was pure hilarity!

I always enjoy the lively banter between all those guys.

Last edited by a moderator:
Paul Pierce for Wizards...

Wizards wins...
 
HAWKS walitaka wafanye ya Golden State hapa.. Too bad Pierce kawafanya vibaya
 
Memphis wako vizuri hawa, kama wataendelea kucheza hivi basi the best team during regular season hawana maisha marefu, kama tulivyowahi kujadili miezi ya nyuma kwamba GSW's lack of experience will cost them dearly. Ngoja tuangalie labda baada ya half time wanaweza kungangamara na kushinda game hii.
 
Back
Top Bottom