BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
- Thread starter
- #781
Nilisema mchezo ambao sitakuja kuuangalia ni American Football. Kwanza nilikuwa sielewi kitu kisha nilikuwa naona jamaa wanabamizana tu hata kwenye pre season utasikia mcheza kaumia hatakuwa available tena kwa season yote.
Nikaanza kuufuatilia taratibu na kuanza kujua sheria zake sasa hivi ni mshabiki mkubwa. Kuna baadhi ya games kwenye regular season sitaki kuzikosa na kwenye playoffs sikosi game hata moja. Superbowl ni sikukuu kwangu kuanzia asubuhi mpaka mechi inapoanza. Pamoja na hayo bado soka ndiyo baba wa michezo yote. Yaani ukiniambia kuna mechi ya soka na mechi ya American football na zote zitakuwa bomba sana ila nichague moja ya kuangalia basi kandanda itashinda siku yoyote ile. Hata kama magoli ni 0-0 1-0 1-1 lakini kama mchezo ni bomba burudani yake ni kubwa sana.

Mwaka huu tutacheza na Giants kwenye regular season.
Sina uhakika kama mechi itakuwa Foxboro au MetLife stadium.
But I can't wait.
Halafu kwenye head to head match up kati ya Tom na Peyton, Brady is 11-5.
So it's safe to say Tom owns Peyton.