NBA Season 2014/2015

NBA Season 2014/2015

Half time kama 3rd quarter Memphis hawatapunguza gap kubaki single digit basi mchezo utakuwa umekwisha.

And not to take anything away from GSW, ila jinsi Memphis wanavyocheza ni sloppy mno.

I mean, wanarukaruka tu bila hata mwelekeo.

Hahahahaaaa ndo maana kuna watu huwa hawaiamini hii michezo aisee.
 
GSW come to play here.. Curry looks like a real MVP tonight..

17 Points lead and it's HT.. Let's go Dubs
 
Half time kama 3rd quarter Memphis hawatapunguza gap kubaki single digit basi mchezo utakuwa umekwisha.

Not to peddle any conspiracy theories, saa ingine hii michezo huwa kama haieleweki kabisa.

Ona kama hivyo Memphis wanavyocheza leo?

Okay, GS wanacheza na desperation lakini Memphis ni kama hawachezi kabisa.

It's kinda weird to me.

Michezo kama hii ndo huwapa credence conspiracy theorists.

This game is over in my book.
 
Yaani mie nilitegemea ushindani wa hali ya juu, lakini hawa Memphis wako doro sana sijui ndio kuchoka au ni kitu gani. Pamoja na kutaka kuwaona GSW wakishinda lakini washinde katika mchezo wenye ushindani wa hali ya juu si game kama hii. Ngoja tusubiri tuone second half labda wanaweza kucheza vile walivyocheza kwenye game 2 & 3.

[/SIZE][/FONT]

Afadhali hata game ya Wiz vs Hawks ilikuwa na ushindani mpaka sekunde za mwisho.

Lakini hii ni garbage kabisa.

Walau leo ntalala mapema.

I'm long overdue a good night's sleep anyway:becky:.
 
It's not over yet.. Still anybody's game.

Mmmhh!! kwa performance hii ya Q1 na Q2 sio promising at all...

Wanachofanya leo GSW ni kama walichofanya ndugu zao wa CA jana kwa Rockets...
 
...Naona hapo kwenye rangi utakua uamuzi mzuri kwani hii game kama ni mabadiliko basi ni GSW kuongeza gap. Ya nini kukesha kwa game ya upande mmoja kama hivi? :sleepy::sleepy::sleepy:

Afadhali hata game ya Wiz vs Hawks ilikuwa na ushindani mpaka sekunde za mwisho.

Lakini hii ni garbage kabisa.

Walau leo ntalala mapema.

I'm long overdue a good night's sleep anyway
:becky:.
 
Memphis Memphis Memphis!

GSW wanaelekea kupata ufumbuzi au Memphis wamechoka, maana kazi yao nguvu nyingi wakati kina kali nguvu kidogo.

This time playoffs ni mshike mshike, Houston Rockets tu ndo wamekuwa walaini kwa LAC.
 
ni mshikemshike si kidogo......now you see how things can be hard to predict....
 
Hakuna cha 3 mbele ya Tony Allen "First team all defense".

Klay kila akishtuka anajua TA yuko karibu, hadi kwenye FTs anakosa kwa kudhani anakabwa, mijamaa imeharibu show kabisa.

Leo kinawaka pia.

and guess what... a flurry of 3-pointers evened the series..Now back to Bay Area..
 
This is Steph Curry's 3rd 30-5-5 game this postseason, the most such games for any player during this year's playoffs
 
the better team won.GSW executed better,showed why they were the best defensive team,Its good to even the series and regain the home court.No more mistakes...Lets go DUBS....

I like how we handled the game.. Easy start and making sure we score every basket when we attack.. HB na Green wakatubeba sana First Quarter, Bogut Blocks and Splash with 48 Points..

Curry alianza very slow kuwapoteza maboya Grizz, 8 minutes of the first quarter hakushoot hata mara moja but the rest is history.

Who is PA?? Grizz welcome to Oracle..
 
Memphis Memphis Memphis!

GSW wanaelekea kupata ufumbuzi au Memphis wamechoka, maana kazi yao nguvu nyingi wakati kina kali nguvu kidogo.

This time playoffs ni mshike mshike, Houston Rockets tu ndo wamekuwa walaini kwa LAC.

hahahahahahaha pundit mmoja anasema ni conspiracy teh teh anaendelea kusema kuna match fixing lol..

Ina maana hizo match fixing zinakuwa sababu pale tu GSW ikishinda?? alikuwa anachekelea 15 points lead at HT on last game na hakusema anaenda kulala, eti hakuna ushindani. Lakini leo 17 Points kakimbia anasema hakuna ushindani teh teh.. Pundit at his best

CC: Tyta
 
Last edited by a moderator:
Yaani mie nilitegemea ushindani wa hali ya juu, lakini hawa Memphis wako doro sana sijui ndio kuchoka au ni kitu gani. Pamoja na kutaka kuwaona GSW wakishinda lakini washinde katika mchezo wenye ushindani wa hali ya juu si game kama hii. Ngoja tusubiri tuone second half labda wanaweza kucheza vile walivyocheza kwenye game 2 & 3.

[/SIZE][/FONT]

teh teh.... BAK UMENIFURAHISHA HAPA....sikuona haya yakisemwa kwenye game ya jana baina ya Clippers na Rockets...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahahahahaha pundit mmoja anasema ni conspiracy teh teh anaendelea kusema kuna match fixing lol..

Ina maana hizo match fixing zinakuwa sababu pale tu GSW ikishinda?? alikuwa anachekelea 15 points lead at HT on last game na hakusema anaenda kulala, eti hakuna ushindani. Lakini leo 17 Points kakimbia anasema hakuna ushindani teh teh.. Pundit at his best

CC: Tyta

tehteh...
icon6.png
icon6.png
icon6.png
 
Back
Top Bottom