Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now it's LeBron vs. Curry.
King James vs. the Baby-Faced Assassin.
The four-time NBA MVP vs. the newly crowned MVP.
minnesotta timberwolves deserves a playoff share for this post season run for drafting two point guards in the 2009 draft before the warriors picked curry. Thanks minnesota.
Steph Curry
Ushabiki ni pamoja na kutengeneza hype ya mchezo, hata kama unaujua ubora wa adui huwezi kudeclare kwenye public kwamba atanifunga.
Lazima ujipe morali kwa kuuambia uma kwamba utamshinda adui tena ushindi mkubwa. Na kwenye Sports criticism is part of the game. Mfano James ana ring 2 lakini bado watu wana zi-discredit kwa kudai bila Wade na Bosh asingezipata, alifata rings Miami etc, so ni kawaida.
Narudia tena kusema Cavs atamshinda GSW. Hata kama GSW atashinda game 1, bado game 2 kina James watashinda.
KT ni kama alikua anatoka damu masikioni.....any updates ballers?
Goti alilotandikwa usoni lilikuwa si la kawaida, ila baba yake jana alidai he is okay and ready to dance with CAVS.
KT ni kama alikua anatoka damu masikioni.....any updates ballers?
He is okay.. Hata MoBuckets anaweza akarudi on finals
Goti alilotandikwa usoni lilikuwa si la kawaida, ila baba yake jana alidai he is okay and ready to dance with CAVS.