NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Game inaonyesha kabisa kwamba Toronto washakalishwa [emoji459][emoji459][emoji459]
....na ndio maana jana nikakuuliza "''you think'' or ''you hope''?''.....................
Natumai umeelewa nilichomaanisha.............
 
As of yet,LBJ & Co. has been firing on all cylinders...
Last season when GSW were ''cruising'' all the way to the Finals,their match ups were termed as ''boring''. I am curious what them folks have to say right now....
 
truly mniombee walau season hii my OKC tupate RING
uko serious bro....?!..Sasa mbona profile pic yako haisadifu unachoongea?...Are you more into OKC or LBJ?..''maombi yangu'' yatategemea jibu lako...πŸ˜€πŸ˜€
 
TO SIXERS,LAKERS & CELTICS.....THERE YOU GO.........
 
Wazee game 2 ni leo jamani, OKC anaendelea kutumbua jipu leo.
 
Reactions: BAK
Ha ha ha, mkuu kila mtu ana mashabiki wake, tunaanzaje kukuombea ili uzifunge team zetu?

Ila mi nakuombea uwapige GSW ili iwe rahisi kwa King kuchukua ring.
Dah jaamaa niombee kwakuwa James ana ring tayari
 
Itakuwa bomba sana wakishinda leo. Hawa GSW washaanza kuwa na kibri cha hali ya juu. Mkuu Mag3 upo? πŸ™‚πŸ™‚

Mag3 roho ngumu, Steph Curry anatafakari nitoke vipi hapa.

Hii game itakuwa ngumu sana kwa kila upande. Naomba OKC waweze ku-control turnovers kuanzia mwanzo wa mchezo.
 
Reactions: BAK
Mie pia Mkuu naomba hivyo ili kupunguza kibri cha hawa watu waliodhani wao ni mabingwa tayari nadhani yule Charles Barkley pia yuko upande wetu πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ Mag3 na Steph Curry sijui kama wataandika huku leo labda washinde, vinginevyo wataminya kimya kimya lol!

Mag3 roho ngumu, Steph Curry anatafakari nitoke vipi hapa.

Hii game itakuwa ngumu sana kwa kila upande. Naomba OKC waweze ku-control turnovers kuanzia mwanzo wa mchezo.
 

Wanafanya maombi huko waliko na matambiko ya kutosha, maana hili la kufungwa na OKC hawakulitegemea kabisa, nimefurahi kweli confidence waliyo nayo RW na KD.
 
Reactions: BAK
Itakuwa bomba sana wakishinda leo. Hawa GSW washaanza kuwa na kibri cha hali ya juu. Mkuu Mag3 upo? πŸ™‚πŸ™‚
Mkuu BAK, nipo sana kama simba aliyejeruhiwa. Hivi naomba niulize, yupo jamaa anamwita Curry eti shooter tu, je hapo uwanjani vijana wanafanya nini? Dakika karibu hamsini wanapohangaika uwanjani, wanatafuta nini kama si ku-shoot? Bila ku-shoot kuna kufunga kweli?

Hata katika michezo mingine mfungaji ni kama lulu tangu baseball (home run), soccer (goal), football (touch down) n.k. Kwa nini kwa Curry iwe nongwa? Eti Charles Barkley hampendi Curry kwa sababu anafunga, what the hell! Ghafla mchezo umebadilika, kisa? Steph Curry!
Wanafanya maombi huko waliko na matambiko ya kutosha, maana hili la kufungwa na OKC hawakulitegemea kabisa, nimefurahi kweli confidence waliyo nayo RW na KD.
Wanaofanya maombi na matambiko kwa sasa ni OKC, hiyo ni jadi yao...watu wa Golden State hawana utamaduni huo. Sana sana game analysis ndiyo inafanyiwa kazi saa hizi kwenye ma-computer...vijana wa Silicone Valley tayari wako kazini na game zinachezwa mezani kabla ya kuingia uwanjani, hiyo ndiyo #Dubnation, strength in numbers.
 
Without discrediting the Thunders,This Game had more to do with the Warriors losing Than Thunders winning..
It's all about adjustments,..We hope to come better than ever.
Bruv ile first half tulidominate sababu ya uwepo wa Bogut... Boggie is good kwenye defense and he is good kwenye offense sababu he is a good passer... Tatizo la Ezeli hawezi kutembeza mpira wala kukamata akiwa kwenye pressure.. Defense pia sio mzuri. Ezeli alisababisha kama turnover 3 au 4 3rd quarter tena ni za kijinga kabisa za kushinda kucontrol au kudaka mpira na wakati huo tulikuwa na lead ya 9, 11, 7... Ndipo OKC wakatumia hizo weakness kupunguza gap mpaka 1... Kwa hii game ya OKC ni vizuri tumtumie Varejao na Bogut tu, Ezeli aingie lead ikiwa kubwa..

I hope leo tutaimaliza game mapema tu..
 
Mag3 roho ngumu, Steph Curry anatafakari nitoke vipi hapa.

Hii game itakuwa ngumu sana kwa kila upande. Naomba OKC waweze ku-control turnovers kuanzia mwanzo wa mchezo.
Hata nikifungwa na kutofika finals ni sawa tu..

Huo moto wa Cavs sio mchezo kudadekii... Kuliko nikafungwe na LBJ ni bora akina Durant wanipige nisifike huko Finals.. Honestly Play offs zote hizi timu yangu hakuna ilichocheza cha maana mpaka niwe na hope ya kushinda finals. Ila game ya leo na OKC ndio nitasema wazi hapa kama kweli nitaweza pambana na Cavs kwa moto walionao au lah.. Leo nitapima timu yangu kwa vitu kadhaa kama Turnovers, Defense without fouling, Shooting inside the perimeter.. Kama hizi leo nitaona tumeimprove nitakuwa na hopes za kuitoa OKC na kuichapa Cavs kwa mara ya pili..
 
Game ya leo ni ngumu sana.. Kwanza ni game yetu ya kwanza tunaingia na pressure kubwa sana.. Pressure ya tukipoteza huu mchezo basi finals 90% possibility ya kutofika.. Ila mimi sitaangalia kushinda, kuna vitu nataka nivione kama defense ile ya mwaka jana na pia kudhibiti turnovers za kijinga jinga..

Ila wote tunajua Warriors inavyo react after a loss... Msimu jana tulikuwa 2-1 at Memphis with 1 game at their court ila tukasimama tukawapiga.. Same story on finals... Game ya leo tukishinda kwa lead ya double digits basi sidhani kama kutakuwa na game 7 kwenye hizi series, sana sana wataishia 6..
 
We'll bounce back,...Dominate and Even the Series Fair and Square....
 

Cavs East anateleza, maana kwa Toronto gap ni kubwa sana.

GSW itakuwa vita vita.
 
Mag3 roho ngumu, Steph Curry anatafakari nitoke vipi hapa.

Hii game itakuwa ngumu sana kwa kila upande. Naomba OKC waweze ku-control turnovers kuanzia mwanzo wa mchezo.
Mag, Steph, na Tyta hawako wenyewe, nko hapa Warriors' stalwart of a fan. Whatever happens, I'll always stay fan to the Warriors. So count me in.
 
Cavs East anateleza, maana kwa Toronto gap ni kubwa sana.

GSW itakuwa vita vita.
Kuna kitu hapa nakifikiria mpaka nataka nipate wazimu... Nawaza tu kama Cavs mtamfagia na huyu Toronto itakuwa umeweka record ya kufika finals bila kufungwa hata game moja (ila hapa najua sitawasikia pundits wakibeza kuwa NBA is soft nowadays au hakuna competition ila angefanya hivyo GSW pundits wangeongea kweli kweli)... Lakini sasa Finals mje kukutana na ile Warriors iliyokuwa moto kama kipindi kile katikati mwa msimu mkaja mkafungwa.. East mtadharaulika sana kwa hilo..
 
Na wala hutasikia mechi zao "zinaboa"...
#thehateisreal..
Kuna watu msimu uliopita ndio walikua nambari one wakisema hivyo..Sasa wamefyata hawazungumzii lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…