NBA Season 2015 - 2016: Special thread

truly mniombee walau season hii my OKC tupate RING
Naona maombi hayakufika panapostahili...unaonaje ukifunga kabisa ndugu yangu! On a serious note kweli yupo mtu alitegemea Warriors ifungwe back to back. Muulize Raimundo atakusimulia kipigo timu yake ilipata baada ya GSW kujeruhiwa na timu moja ya ajabu ajabu. Ni siku ambayo CAVs hawatakaa waisahau...132-98! Leo sijui OKC wangefungwa mangapi kama benchi isingeachiwa imalizemalize kufagia uwanja!
 
Mie shabiki tu sina Timu Mkuu, ila kama shabiki kuna timu huwa nazifagilia zishinde na hata kama zisiposhinda huwa sikosi raha hata chembe ukilinganisha na enzi za Michael Jordan and Da Bulls
Hahah..Okay..If I were neutral I would prefer this match up to go as far as Game 7..it's full of fun,unpredictability and haiishi kuongelewa midomoni mwa watu..Contrary to our "comrades" on the East....
 
There's one thing with the Warriors... They have this thing of mastering the art of comeback. When they blunder with minimal margins of error, they bounce back and put on a masterpiece of a clinic that always sends a spine-chilling message but a clear reminder of who they are.
And they have also became masters of feeding off of all of their Ls and tight situations. Put em down 2-1 and they're known to knock out a team with bulwark of defense and win a champion away from the self-proclaimed king.
Now, In Case You Miss my point... That's the Golden State Warriors.
 


Damn, like for real, what the ef is Westbrook wearing these days?. One IG commenter put it right for me, he's like a homeless dude. Damn, this kid is way outta clothing madness.
 

Halafu jamaa mwenyewe anayeomba OKC ishinde Avatar kwamweka LBJ.
 
Kuna majipu hayatumbuliki k.m. Lugumi...muulize Magufuli.

Duh, hili jipu kweli kama la Lugumi. Kuna move moja ya Iguodala mwishoni mwa Q2 mpaka imebidi niirudie rudie replay yake mara kadhaa.

Ngoja Cavs tuendelee kijifua kwa Toronto, maana sisi tuko mazoezini tunasubiri Finals.
 
this face tells it all..the 'IDGAF'' face..
Bro, that's madness type of IDGAF. At least he should play it with "laid back muhfa.." Type of IDGAF.

Hahaha comments za IG ni vunja mbavu. Eti wamepoteza hii gemu coz ya tshirt jamaa aliovaa.
Mara, Russ anafikiri siku hizi kawa Mike Jackson.
Mara Russ ameiba hiyo T sehem. Hahaha asee ni shida ariff.
 
Mpaka game inaisha hamna mjadala humu..Tatizo nini?..The thread is hot only when "The Real Deal" steps on the court..
Kwenye regular ya mwaka huu CAVS ilifungwa katika michezo miwili tu na timu za East lakini ilipokutana na timu za West ikapoteza michezo 23! Na sasa kwenye playoffs CAVS haijafungwa hata mara moja na hizo hizo timu za East...je hapa tunapata fundisho gani? Ni kwamba huko East CAVS hawana upinzani, ni mteremko tu.
 
Mpaka game inaisha hamna mjadala humu..Tatizo nini?..The thread is hot only when "The Real Deal" steps on the court..

Game haina ushindani, ni kama kina LBJ wako mazoezini.
 
Na huo mteremko ndo unafanya victories za Cavs zisiwe na chachu kiviile. We anangalia tu writers' and sport analysts' coverage ya game za West (specifically [nowadays] GSW's and these Western Conference games) ilivyokuwa kubwa kuliko coverage ya game za East.
LBJ and Co. have an easy way to the Finals year in year out due to the wacky competition they have in the East. Imagine him or his counterparts playing in the gridlocked and tumultuous West. No doubt he'd still shine, he has that...but to blaze to the Finals every now and then...now allow me to put some "?" and "!".
It's no point of discussion, every West game in these playoffs were/are thrilling to watch, they always have that UNCERTAINTY feeling. Even kings can be toppled in this landscape.
Na ndo maana kuliko nihame GSW kwa sababu ya (endapo ikitokea) some failures....nah ni bora nibaki nashangilia GSW hivyo hivyo coz they are always playing against competitive players and teams.

P. S.: Congrats to the Cavs aisee. Bro, Raimundo and Nzi...have that digital glass [emoji482][emoji481], it's on me!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…