NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Hapa umeongea Nzi, big up! Ninavyopenda vijembe, wee acha tu. Bila vijembe mbona jukwaa litapoa? Hapo juu tayari nimepewa kijembe...mbona sikusifia Paul Millsap alivyofunga points 45 na rebounds 13? Ni kweli sikufanya hivyo kwani mchezo sikuutazama (kumbuka narekodi zile ambazo nakosa kuzitazama), nitakapopata muda na kuuangalia sitasita kutoa pongezi.

Ushauri wangu kwa yeyote anayekwazwa akikutana na vijembe humu ni huu, kama moto wa jikoni huwezi kuuvumilia, mlango uko wazi, toka humo...ha ha haa! Bila vijembe jukwaa halinogi na toka leo naagiza ushabiki unaokosa vijembe ni marufuku katika jukwaa la burudani na michezo. Nitaendelea kutoa vijembe tena vizito kwa anayeponda timu yangu bila sababu za msingi, hapo sasa!

Ha ha ha, unajua kuna watu tumekua tunaangalia mipira kwenye vibanda umiza, culture ya ushabiki ni vijembe, kupondana nk. Na hata timu yako iwe nzuri vipi hukosi watu wa kuiponda na hiyo ni normal kwenye ushabiki wa michezo.

Sasa timu yako ikipondwa ukachukuliwa kama umedharauliwa ndo matatizo yanapoanza, unaanza chuki na kila anayeiponda timu yako.

Ushabiki ni vijembe.
 
Nikiwa shabiki wa Simba enzi hizoooo, nilimpenda dogo Kibadeni wa Simba na katu sikumpenda marehemu Sembuli wa Yanga. Curry ananikumbusha Kibadeni na LeBron ananikumbusha Sembuli. Tulikuwa watu sita na kila mechi tulikodisha gari kwenda uwanja wa taifa, tukifika watatu walikuwa wanapinda kulia na watatu wanapinda kushoto. Baada ya mechi kila moja ilibidi atafute namna yake ya kurudi mjini. Waliokuwepo wakati huo watajua naongelea nini hapa. Sasa turudi kwenye playoffs za NBA 2015/2016...
 
Ha ha ha, unajua kuna watu tumekua tunaangalia mipira kwenye vibanda umiza, culture ya ushabiki ni vijembe, kupondana nk. Na hata timu yako iwe nzuri vipi hukosi watu wa kuiponda na hiyo ni normal kwenye ushabiki wa michezo.

Sasa timu yako ikipondwa ukachukuliwa kama umedharauliwa ndo matatizo yanapoanza, unaanza chuki na kila anayeiponda timu yako.

Ushabiki ni vijembe.
Let's call A spade a spade na tusichangie kinafiki..ADP has a point in one way(not entirety)...Kuna watu wameichukulia personal,,,
Nikuulize,.. mtu unamuuliza sports question honestly,(not once,not twice)lakini kamwe hakujibu.(there must be an issue)...at the same time mtu huyohuyo is indirectly full of negativity,,that's vividly a sign of personal issues..Anyway I have no problem getting Ignored as anyone is free to make a reply of his choice..But tatizo linakuja mtu huyohuyo anapojitokeza na kusema hakuna "personal issues" ilhali "kazira" kujibu anapoulizwa na baadhi ya watu,that's an "Advanced Level of Hypocrisy"..So yes there are people with personal issues..
However having said that,Iam all for criticism(both -ve & +ve),trolling as well as sarcasm. ....
 
Bad News For (Us) ESPN FIRST TAKE FANS..
SKIP BAYLESS WILL NOT RETURN TO THE SHOW WHEN HIS CURRENT CONTRACT IS DUE(AUGUST,2016)...
 
Daaahhhhh nimeisoma leo hii Asubuhi hii story and I was disappointed sana. Nahisi hata Steven A Smith atashuka morari. Yaani nahisi kitapungua rating kabisa.. The fact that people won't see someone ambaye anasema vitu hawapendi kama kutumia my spurs itafanya ionekane kipindi kimepwaya. It won't be eclectic as it is now. Nasikia anaenda Fox sports and it's more than 7m per year ambayo inasemekana ndo alikuwa anachukua ESPN.
 
I loved to hate this guy at the same time hated to love him...SAS alikuwa convinced kujiunga First Take na Skip,sasa anasepa sijui itakuaje.Skip's personality is one of a kind.He always speak his mind and doesn't care anyone's reaction.
 
Trust me man, SAS won't be enjoying it no more... They had different personalities but great chemistry. It's like putting the fit Rose and Westbrook in the same team. they are different but they'll put a monstrous dunk any time
 
The one guy who in one way or another fits Skips personality is Howard Stern(Radio Personality),unfortunately he is not A sport Commentator or has little to do with sports.First Take won't be the same.I shall stick to "Inside the NBA" and enjoy the controversial Chuck.
 
Hahahahahahaha Howard Stein is nuts man... He's that man who doesn't care how stupid he's but you'll just listen. Skip was ultimately the man of the show... Because his arguments always made way for SAS to come out with that speedy and stinky tongue of his.
 
Let's call A spade a spade na tusichangie kinafiki..ADP has a point in one way(not entirety)...Kuna watu wameichukulia personal,,,
Nikuulize,.. mtu unamuuliza sports question honestly,(not once,not twice)lakini kamwe hakujibu.(there must be an issue)...at the same time mtu huyohuyo is indirectly full of negativity,,that's vividly a sign of personal issues..Anyway I have no problem getting Ignored as anyone is free to make a reply of his choice..But tatizo linakuja mtu huyohuyo anapojitokeza na kusema hakuna "personal issues" ilhali "kazira" kujibu anapoulizwa na baadhi ya watu,that's an "Advanced Level of Hypocrisy"..So yes there are people with personal issues..
However having said that,Iam all for criticism(both -ve & +ve),trolling as well as sarcasm. ....
Nimekuelewa chifu. Unajua nilijitahidi kuepuka kukwaruzana kusiko na tija. Niliona naanza kushambuliwa na kusemwa kwa maneno ambayo sikuona haja ya kujibizana.
Yameisha sasa kutokana na spirit ya mchezo wa kikapu, yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
 
Hahahahahahaha Howard Stein is nuts man... He's that man who doesn't care how stupid he's but you'll just listen. Skip was ultimately the man of the show... Because his arguments always made way for SAS to come out with that speedy and stinky tongue of his.
Stern anauliza maswali ambayo no one would to ask(very intimate qstns),kama Skip tu tena bila kupepesa macho.To be the most Fined Radio Personality in FCC(America) can tell you alot about this guy..I will dearly miss Skip,
 
Hahahahaha once upon a time SAS called Andrew Bogut a Andrew Bogus if not Bog Ass... While Skip repeatedly sewed Lebron... I can't watch this show when Skip is away
 
They really made those debates interesting to watch..There was a time you would think the Two would engage in a brawl..Skips would get under SAS' skin,in Response,SAS would furiously react as if he is possessed by spirits and demons...
Are you following him on Twitter?..This man averaged 1.4 points per game in his college basketball career,As big of a critic he is,people(his followers)always keep on reminding him of that in any of his tweets..Always fun to folliw this guy..
 
Hahahahahahaha Howard Stein is nuts man... He's that man who doesn't care how stupid he's but you'll just listen. Skip was ultimately the man of the show... Because his arguments always made way for SAS to come out with that speedy and stinky tongue of his.
You may not believe this...I listened to Howard Stein once some many years ago and that was it, I never listened to him again. Though I consider myself to be very liberal-minded, there are some lines I swore never to cross and Howard Stein happens to be on the other side. I am not so sure if these two, Stein and Skip, are on the same wavelength but then I may be wrong...who am I to judge! And now back to NBA 2015/2016!
 
Let's call A spade a spade na tusichangie kinafiki..ADP has a point in one way(not entirety)...Kuna watu wameichukulia personal,,,
Nikuulize,.. mtu unamuuliza sports question honestly,(not once,not twice)lakini kamwe hakujibu.(there must be an issue)...at the same time mtu huyohuyo is indirectly full of negativity,,that's vividly a sign of personal issues..Anyway I have no problem getting Ignored as anyone is free to make a reply of his choice..But tatizo linakuja mtu huyohuyo anapojitokeza na kusema hakuna "personal issues" ilhali "kazira" kujibu anapoulizwa na baadhi ya watu,that's an "Advanced Level of Hypocrisy"..So yes there are people with personal issues..
However having said that,Iam all for criticism(both -ve & +ve),trolling as well as sarcasm. ....
Mtu anasema ushabiki haukosi vijembe lakini mtu huyo huyo ukimuuliza swali hajibu ila anakujibu kwa kum'quote mwingine indirectly unajua hapa nimejibiwa mimi... Ndio maana tunasema sio ushabiki ni mipasho, kama wewe ni shabiki na unaleta vijembe vya hapa na pale huwezi kuzira kujibu hoja za wengine...
 
...
I am not so sure if these two, Stein and Skip, are on the same wavelength but then I may be wrong...who am I to judge! And now back to NBA 2015/2016!
Only in the sense that "they both openly and unregretful talk/ask things no one would even dare ..
On the other hand you are very right Howard has been crossing the line so often( He is really capitalizing on America being.."the land of the free")..
 
Big time plays,terrific D,fast n furious. ..As expected James "Har en"..the "d" is still missing..And that "superman" is now officially wight Howar...no "D" at all...[emoji1]
 
22 Points lead at the half... Boys are on fire..

Naona Ports nao wanawakamua Clippers kwao..
I would like Portland/Clippers series to go as far as game 7....So as for today, I support Clippers. .I know them Blazers will take care of business at their home..
 
22 Points lead at the half... Boys are on fire..

Naona Ports nao wanawakamua Clippers kwao..
This is the kind of play that made me love the Warriors...clean baskets, no pushing just style! Like I said before they are adjusting without the assassin and what a game they are displaying! Well for now at HT the score is 59-37 let's await the second half.
 
Back
Top Bottom