Lengo la kuwa mdhamini ni kuitangaza brand na sikwamba una ukubwa kiasi gani, ili mradi unaweza kulipa ada ya udhaminisijasema hana vigezo kwa sababu hata hivo sjui vigezo vyao my point nilitegemea bank zenye ushawishi NBC haina hata matawi meng compare na others Banks
Maelezo yako yanaonyesha hauna elimu..sijasema hana vigezo kwa sababu hata hivo sjui vigezo vyao my point nilitegemea bank zenye ushawishi NBC haina hata matawi meng compare na others Banks
Nadhani Hili swala lipo kisheria boss ndo maana hata Vodacom waliporudi second time karia aliropoka kua hataki kuona team ikibadili rangi ya logo ila bado alishindwa kuna sheria ya FIFA kulinda Utamaduni wa vilabu vya mpira wa miguu.Hivyo conflict of interest Bado ipo lakini wataisolve kwa kuamua moja
Hilo swala labda yanga waamue kukubali ila yanga wanayo haki kisheria kukataa.Inasemekana Yanga hawawezi bishana na bodi ya ligi hivyo itawabidi tu.
Ngoja tusubiri tuone lakini mbona Yanga hua wanavaa jezi zenye Logo nyekunduNadhani Hili swala lipo kisheria boss ndo maana hata Vodacom waliporudi second time karia aliropoka kua hataki kuona team ikibadili rangi ya logo ila bado alishindwa kuna sheria ya FIFA kulinda Utamaduni wa vilabu vya mpira wa miguu.
NBC ndo atalazimika kubadili rangi ya logo kwa klabu chache.
Jezi zipi hizo zina logo nyekundu?Ngoja tusubiri tuone lakini mbona Yanga hua wanavaa jezi zenye Logo nyekundu
Logo ya CAf mbna Ina rangi ya kijani au sijaitazama vzuri
Kolo subirini maumivu Yanga kamwe awaweki rangi nyekundu kwenye jezi zaoInasemekana Yanga hawawezi bishana na bodi ya ligi hivyo itawabidi tu.
sijasema hana vigezo kwa sababu hata hivo sjui vigezo vyao my point nilitegemea bank zenye ushawishi NBC haina hata matawi meng compare na others BanksKwani NBC hana vigezo?
Maelezo yako yanaonyesha hauni
Wew acha uswahil apa ongea na unikosoe kwa data na kwa point ungekuwa smart ungenipa hiyo elimu kuwa iko Hiv na Hiv na ungesema wameingia mkataba wa miaka flan wenye thaman ya shilingi kazaaMaelezo yako yanaonyesha hauna elimu..