NBC Bank Mdhamini mkuu Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022

Kati ya NBC na Yanga, nani anamwitaji zaidi mwenzake? Ukipata jibu hapo utaelewa
 
J

Yanga ni nani kwani....hv ikitokea kila team ikitaka twiga awe rangi ya team yake itakuaje,yeye yanga agome kwa ukubwa gani alionao?

Kwani kipindi cha nyuma Yanga alikuwa ni nani?
 
NBC wanaihitaji zaidi Yanga, hata bila NBC Yanga itasonga mbele
Ngoja tuone kwani Kabula ya Yanga NBC haikufanya kazi? Na kumbuka si Yanga tu NBC ipo hata bila Yanga sababu kuna simba, Geita, Azam, Mbeya kwanza na timu nyingi.
 
siasa za simba na utopolo ngumu sana.......nbc watatii amri........hii nchi ngumu sana......
 
Ngoja tuone kwani Kabula ya Yanga NBC haikufanya kazi? Na kumbuka si Yanga tu NBC ipo hata bila Yanga sababu kuna simba, Geita, Azam, Mbeya kwanza na timu nyingi.
Mnahangaika bure wao NBC wameshakubali kubadili logo kwenye jezi za yanga
 
Ingekuwa zawadi ya mshindi wa kwanza inafika hata kiasi cha kununua mchezaji wa Bilioni 1au 2 hapo ingekuwa timu ndo zinawahitaji hao NBC ila zawadi ya mshindi wa kwanza haifiki hata milioni 300 na hii inatolewaga kama motisha kwa timu kwa ajili ya kumfunga mtani tu

Kwahyo NBC anatumia vilabu vya ligi kuu kujitangaza zaidi na sio kuzinufaisha vilabu.

Hivyo basi hana namna kufuata matakwa ya Dar es Salaam Young Africans
 
Oyaaa Kasomi umetusahau maeneo yetu kule au ndo Usha fanya mambo ila mm ndo sijapita
 
Kwa vile yupo kibiashara acha afuate ili tu afikie lengo lake la kujitangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…