Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Yaani ukiwa na 30,000,000 hakuna haja ya kununua daladala ikuletee hesabu ya 80,000 kwa siku na presha ya matrafiki juu.Haupo serious riba 7℅ kwa
mwezi? Yaani mtu akiweka 30,000,000 baada ya mwezi anapata zaidi ya 2,500,000? Wewe mtu wewe?
Ni kupeleka tu CRDB ujikunjie hiyo 2.5 isiyo na presha kabisa.
Hata kama ni uongo ila mtoa mada kazidisha aisee.