NBC bank ni benki bora Tanzania Kwa sasa

Haupo serious riba 7℅ kwa

mwezi? Yaani mtu akiweka 30,000,000 baada ya mwezi anapata zaidi ya 2,500,000? Wewe mtu wewe?
Yaani ukiwa na 30,000,000 hakuna haja ya kununua daladala ikuletee hesabu ya 80,000 kwa siku na presha ya matrafiki juu.
Ni kupeleka tu CRDB ujikunjie hiyo 2.5 isiyo na presha kabisa.

Hata kama ni uongo ila mtoa mada kazidisha aisee.
 
Mteja umeelewa somo lao la masoko mpaka umekuwa mwalimu.
 
Yaani ukiwa na 30,000,000 hakuna haja ya kununua daladala ikuletee hesabu ya 80,000 kwa siku na presha ya matrafiki juu.
Ni kupeleka tu CRDB ujikunjie hiyo 2.5 isiyo na presha kabisa.

Hata kama ni uongo ila mtoa mada kazidisha aisee.
Ni 0.7% jamani nimekosea
 
One of the best Banks in Tanzania. Mimi nimekuwa customer wao kwa miaka zaidi ya 20 isipokuwa nililazimika kuchomoka juzi juzi baada ya kufanyiwa kitu mbaya sana na wabongo wenzangu kwenye tawi nililokuwepo; kilichopelekea nikapoteza hela nyingi sana.
I say it again, NBC is one of the best Banks in Tanzania
 
umelipwa mkuu kwa hili tangazo???
 
Pote upo sahihi sahihi ila huduma zao ni mbovu sana,,benki zao unakuta madirisha 5 alafu muhudumu mmoja ni ungese mtupu.

Me naona NMB ndo wanahuduma nzuri
 
hawa jamaa kuna kipindi walifuliaaa sanaa na huduma zikawa za kawaida sanaaa na wateja wakakimbiaaa (mie nkiwemo)... naona hatimaye baada wameanza nyanyukaaa
 
hawa jamaa kuna kipindi walifuliaaa sanaa na huduma zikawa za kawaida sanaaa na wateja wakakimbiaaa (mie nkiwemo)... naona hatimaye baada wameanza nyanyukaaa

Hisa zimenunuliwa na bank Fulani hapo mjini so basically ni Kama tawi la ile bank bila hivo ilikua ngumu kunyanyuka
 
NBC wameajiri Vijana hasa Mabinti Mashalaaaah wanashinda kwenye Maofisi ya Umma na Maeneo ya Biashara kubwa kushawishi wateja kwa weledi wa hali ya juu sana. Wamekuja na market strategy nzuri mnoo.
Hongera sana kwao, hasa Wahudumu wao ambao wengi ni Wasabato kwa muonekano wa Mavazi, Nywele na Aina ya Muziki wao kwenye Pc. Good job
 
Nimependa uliposema kadi zao zinafanana na ABSA. Ni kweli, kwa sasa ABSA ni sehemu ya wamiliki wakubwa wa hisa za NBC.

Usisahau ABSA chimbuko lake ni Afrika kusini, na yenyewe inamilikiwa na benki ya Barclays ya Uingereza.

Pengine ndio sababu siku za hivi karibuni, angalau kumekuwa na mabadiliko chanya.
 
Ni One of the Best afu wewe ulipotezamo humo hela Mkuu?

How?
 
Ahaaaa kumbe!!!Ndio maaana basi..Nashkuru Kwa kunifumbua kuhusu hilo
 
hawa jamaa kuna kipindi walifuliaaa sanaa na huduma zikawa za kawaida sanaaa na wateja wakakimbiaaa (mie nkiwemo)... naona hatimaye baada wameanza nyanyukaaa
Wamerudi mkuu,nadhani wapo kwenye kampuni hiyo au upo uongozi mwingine
 
Sijawahi pata customer care kama Ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…