NBC bank ni benki bora Tanzania Kwa sasa

Umesahahu pia ATMs zao unaweza kudeposit pesa mda wowote

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hii benki kwakweli hapana wana makato makubwa mfano ukiwa watuma pesa nje kununua kitu, makato yao hatari. Pia hata exchange rate zao uwa ziko chini.
Uwa mimi hadi nahisi hawajalenga watu binafsi
 
Mkuu kwa ishu za mtandaoni unatumia bank gani ?
 
Wafanyakazi kaeni mkao wa kuja kupigwa na kitu kizito July mwaka huu baada ya Mama kuupiga mwingi kwenye ongezeko la mishahara [emoji1732][emoji851]
 
Tuelezee hiyo kasumba iliyokukuta ila na sisi tujifunze kupitia kwako
 
Hii benki kwakweli hapana wana makato makubwa mfano ukiwa watuma pesa nje kununua kitu, makato yao hatari. Pia hata exchange rate zao uwa ziko chini.
Uwa mimi hadi nahisi hawajalenga watu binafsi
Ahaaa kumbe?mi sijawahi kununua kitu nje
 
Hii benki kwakweli hapana wana makato makubwa mfano ukiwa watuma pesa nje kununua kitu, makato yao hatari. Pia hata exchange rate zao uwa ziko chini.
Uwa mimi hadi nahisi hawajalenga watu binafsi
Nadhani sasa hivi wameimprove Ili kuvutia wateja
 
Ndio uzuri wa matangazo bila Ligi kuu Wala usingewajua
 
Haupo serious riba 7β„… kwa

mwezi? Yaani mtu akiweka 30,000,000 baada ya mwezi anapata zaidi ya 2,500,000? Wewe mtu wewe?
Asante Kwa kunisanua nilikua naelekea NBC Sasa hivi nikafungue account niweke 3ml kama mtaji Nile hizo laki 2 zao kila mwezi
 
Duh!!!...
 
Hii benki kwakweli hapana wana makato makubwa mfano ukiwa watuma pesa nje kununua kitu, makato yao hatari. Pia hata exchange rate zao uwa ziko chini.
Uwa mimi hadi nahisi hawajalenga watu binafsi
Wanaizidi CRDB kwa makato? Hii benki mpaka tsh. elfu tano kwenye ATM unatoa...wakati benki nyingine huwezi toa
 
Ulifanyiwa ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…