NBC, Hio Man of the Match Kwa Camara imetolewa Kwa kigezo Gani?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Good morning.
Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match.

Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa Shoot Moja la kulenga goli!!!

NBC hamfai kabisa...angefanya save hata 10 sasa si mngempa golikipa wa mwez au wa msimu tayar!

Au mliangalia kigezo kipi because golikipa Hadi anapewa Man of the Match ujue timu hio ilipigiwa sana mashoot ya kulenga goli (on target) na Ali save...Juzi kati si mliona golikipa wa Madrid kwenye Match ya UEFA vs Stuttgart Thibaut alipewa Man of the Match because of the saves ukibisha kaangalie Madrid alipigwa sana mashoot na alisave sana ipo mifano mingi kaangalien.

Kigezo Cha golikipa kupewa Man of the Match ni saves alikutana na mashoot mangapi na aka save...

Angalien Ederson pale Man city Hadi hua anapiga assist ulishakuta anapewa Man of the Match no because most of the games Huwa hapati kashikashi..

Ipo siku mtakuja kuitoa Man Of the Match Kwa Player Alie bench kisa kahamasisha wenzake wakafanya Comeback na wakashinda...Kama anavyofanyaga AZIZ KI.

Good Morning🇵🇹
 
Nadhani Camara alipewa Man of the Match mechi ya jana kwa sababu alikuwa sana sehemu ya mchezo. Golikipa ana kazi zaidi ya kusave. Jana kapiga sana pasi ndefu ingawa inabidi afanye mazoezi zaidi accuracy za mipira yake, mingi inakuwa ya kugombania au inakuwa mirefu sana inaenda moja kwa moka kwa kipa wa pande wa pili au inatoka nje.

Moja ya sifa za Diarra ni kuwa pasi zake ndefu zinaenda moja kwa Moja kwa mchezaji anayemtaka ambaye yupo kwenye nafasi ya kuupokea mpira bila shida.

Man of the Match angekuwa Kapombe au hata Feisal.
 
Good morning.
Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match.

Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa Shoot Moja la kulenga goli!!!

NBC hamfai kabisa...angefanya save hata 10 sasa si mngempa golikipa wa mwez au wa msimu tayar!

Au mliangalia kigezo kipi because golikipa Hadi anapewa Man of the Match ujue timu hio ilipigiwa sana mashoot ya kulenga goli (on target) na Ali save...Juzi kati si mliona golikipa wa Madrid kwenye Match ya UEFA vs Stuttgart Thibaut alipewa Man of the Match because of the saves ukibisha kaangalie Madrid alipigwa sana mashoot na alisave sana ipo mifano mingi kaangalien.

Kigezo Cha golikipa kupewa Man of the Match ni saves alikutana na mashoot mangapi na aka save...

Angalien Ederson pale Man city Hadi hua anapiga assist ulishakuta anapewa Man of the Match no because most of the games Huwa hapati kashikashi..

Ipo siku mtakuja kuitoa Man Of the Match Kwa Player Alie bench kisa kahamasisha wenzake wakafanya Comeback na wakashinda...Kama anavyofanyaga AZIZ KI.

Good Morning🇵🇹
Amehusika kwenye build ups nyingi, na anticipation nyingi I hope utaelewa
 
FB_IMG_17274069020314613.jpg
 
Kwa hiyo umechukia?Kunja shati tupigane!😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣 Hawa nbc nao siasa tuu.
 
Good morning.
Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match.
Tatizo la uto ni kudhani kila kitu kinaihusisha Uto. Sio kila jambo ni about utopolo. Mambo mengi tu uwanjani yanatokea kwa sababu tofati na wanaoamua wala hawajawafikiria utopolo kabisa. Sasa Diara anaingiaje kwenye mechi ya jana?
 
Good morning.
Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match.

Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa Shoot Moja la kulenga goli!!!

NBC hamfai kabisa...angefanya save hata 10 sasa si mngempa golikipa wa mwez au wa msimu tayar!

Au mliangalia kigezo kipi because golikipa Hadi anapewa Man of the Match ujue timu hio ilipigiwa sana mashoot ya kulenga goli (on target) na Ali save...Juzi kati si mliona golikipa wa Madrid kwenye Match ya UEFA vs Stuttgart Thibaut alipewa Man of the Match because of the saves ukibisha kaangalie Madrid alipigwa sana mashoot na alisave sana ipo mifano mingi kaangalien.

Kigezo Cha golikipa kupewa Man of the Match ni saves alikutana na mashoot mangapi na aka save...

Angalien Ederson pale Man city Hadi hua anapiga assist ulishakuta anapewa Man of the Match no because most of the games Huwa hapati kashikashi..

Ipo siku mtakuja kuitoa Man Of the Match Kwa Player Alie bench kisa kahamasisha wenzake wakafanya Comeback na wakashinda...Kama anavyofanyaga AZIZ KI.

Good Morning🇵🇹
Aibu kwao.
 
Ule msimu wa Yanga kuhisi kila kitu ikifanywa wanaonewa umeanza, mechi sio yao na haiwahusu ila wanaona wanaonewa
 
Back
Top Bottom