NBC, Hio Man of the Match Kwa Camara imetolewa Kwa kigezo Gani?

Good morning.
Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match.

Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa Shoot Moja la kulenga goli!!!

NBC hamfai kabisa...angefanya save hata 10 sasa si mngempa golikipa wa mwez au wa msimu tayar!

Au mliangalia kigezo kipi because golikipa Hadi anapewa Man of the Match ujue timu hio ilipigiwa sana mashoot ya kulenga goli (on target) na Ali save...Juzi kati si mliona golikipa wa Madrid kwenye Match ya UEFA vs Stuttgart Thibaut alipewa Man of the Match because of the saves ukibisha kaangalie Madrid alipigwa sana mashoot na alisave sana ipo mifano mingi kaangalien.

Kigezo Cha golikipa kupewa Man of the Match ni saves alikutana na mashoot mangapi na aka save...

Angalien Ederson pale Man city Hadi hua anapiga assist ulishakuta anapewa Man of the Match no because most of the games Huwa hapati kashikashi..

Ipo siku mtakuja kuitoa Man Of the Match Kwa Player Alie bench kisa kahamasisha wenzake wakafanya Comeback na wakashinda...Kama anavyofanyaga AZIZ KI.

Good Morning🇵🇹
Wewe utopolo unaandika kama upo chumbani kwa PDiddy. Ulitaka Diarra apewe hiyo tuzo wakati timu yake haikuwa na mechi jana? Au ulitaka apelekewe hapo Kidimbwini wakati hajacheza?
 
Good morning.
Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match.

Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa Shoot Moja la kulenga goli!!!

NBC hamfai kabisa...angefanya save hata 10 sasa si mngempa golikipa wa mwez au wa msimu tayar!

Au mliangalia kigezo kipi because golikipa Hadi anapewa Man of the Match ujue timu hio ilipigiwa sana mashoot ya kulenga goli (on target) na Ali save...Juzi kati si mliona golikipa wa Madrid kwenye Match ya UEFA vs Stuttgart Thibaut alipewa Man of the Match because of the saves ukibisha kaangalie Madrid alipigwa sana mashoot na alisave sana ipo mifano mingi kaangalien.

Kigezo Cha golikipa kupewa Man of the Match ni saves alikutana na mashoot mangapi na aka save...

Angalien Ederson pale Man city Hadi hua anapiga assist ulishakuta anapewa Man of the Match no because most of the games Huwa hapati kashikashi..

Ipo siku mtakuja kuitoa Man Of the Match Kwa Player Alie bench kisa kahamasisha wenzake wakafanya Comeback na wakashinda...Kama anavyofanyaga AZIZ KI.

Good Morning🇵🇹
Ingekuwa kipindi cha swaumu ningewatetea hawa wachambuz wa wachezaji bora kuwa labda walivimbiwa daku! Ila seriously mchezaji bora anapewa golikipa mwenye save moja! Huu ni ujinga uliopitiliza🚮🚮
 
Jana Camara amecheza nafasi tatu;
1. Kama Golikipa
2. Kama beki wa kati maana alikuwa akipanda mpaka eneo la sentafu
3. Kama kiungo kwa mipira yake mirefu kuwapasia viungo wa pembeni na kati ingawa accuracy ilipungua Kama ulivyosema.
Kiufupi alikuwa sehemu ya team katika ku ORGANIZE mchezo mzima.
3. Kama kiungo kwa
Sahihi kabisa.

KIngine asichoelewa mleta mada, mechi ya jana wachezaji wengi wa timu zote mbili hawakuwa na kiwango kikubwa saaana. Mpira ulikuwa wa kugongana sana hasa Azam walioamua kucheza mpira wa nguvu zaidi na hiyo imeathiri performance ya mchezaji mmoja mmoja.
 
Ata kocha wasimba na yule mchezaji wa simba kupata tuzo bora ya mwezi haikuwa haki maana Singinda Black stars wamefanya vyema kuliko simba.
 
Good morning.
Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match.

Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa Shoot Moja la kulenga goli!!!

NBC hamfai kabisa...angefanya save hata 10 sasa si mngempa golikipa wa mwez au wa msimu tayar!

Au mliangalia kigezo kipi because golikipa Hadi anapewa Man of the Match ujue timu hio ilipigiwa sana mashoot ya kulenga goli (on target) na Ali save...Juzi kati si mliona golikipa wa Madrid kwenye Match ya UEFA vs Stuttgart Thibaut alipewa Man of the Match because of the saves ukibisha kaangalie Madrid alipigwa sana mashoot na alisave sana ipo mifano mingi kaangalien.

Kigezo Cha golikipa kupewa Man of the Match ni saves alikutana na mashoot mangapi na aka save...

Angalien Ederson pale Man city Hadi hua anapiga assist ulishakuta anapewa Man of the Match no because most of the games Huwa hapati kashikashi..

Ipo siku mtakuja kuitoa Man Of the Match Kwa Player Alie bench kisa kahamasisha wenzake wakafanya Comeback na wakashinda...Kama anavyofanyaga AZIZ KI.

Good Morning🇵🇹
Hao unataka uwape MOT linganisha miss vs win zao Kwa huo mchezo , angalia pass accuracy , usidhanie Kwa keeper tunaangalia save tu pekee , keeper ni sehemu ya mchezo
 
Hiyo man of the match kaipata kwenye mechi vs al ahly tripoli, ndio zawadi kapewa jana.
 
Hao unataka uwape MOT linganisha miss vs win zao Kwa huo mchezo , angalia pass accuracy , usidhanie Kwa keeper tunaangalia save tu pekee , keeper ni sehemu ya mchezo
Hata Mchezaji aliepo bench ni sehemu ya mchezo so siku akipambana kama anavyofanyaga Aziz akawa kocha so atakua Man of the Match.
 
Asante Kwa kuchangia Uzi.
Ila next time elewa ndio ujibu...sio Kila kitu utani wa Simba na Yanga.

Nimeongea Leo ila ipo siku mtaelewa.
WEWE NDIO UMEANDIKA UTUMBO DIARA ANAHUSIKA VIPI KWENYE MECHI YA SIMBA VS AZAM? HOJA NI NZURI ILA ULIVYOMTAJA DIARA NIMEKUDHARAU NIMEKUONA NI SHABIKI MAANDAZI
 
Ata kocha wasimba na yule mchezaji wa simba kupata tuzo bora ya mwezi haikuwa haki maana Singinda Black stars wamefanya vyema kuliko simba.
USIPOST HUMU KAMA UMEKULA MAKANDE, HADI SASA HIVI SIMBA HAIJARUHUSU GOLI HATA MOJA NA IMEFUNGA MAGOLI MENGI KULIKO TIMU YOYOTE NA JEAN AHOUA NDIO MCHEZAJI ANAYEONGOZA KWA ASIST ANAZO 4 NA GOLI MOJA.
 
Back
Top Bottom