THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
- #21
Basi sawa endelelen.Kazi ya kipa sio kudaka tu,Camara jana japiga oasi nyingi kuliko Mutale na kelvin kijili,jamaa ni kama beki ni kama kipa,ana footwork nzuri sana
Ipo siku mtakuja kupewa Golikipa wa msimu Kwa kua alipiga pasi Nyingi ila Hana cleansheet nyingi.