NBC, Hio Man of the Match Kwa Camara imetolewa Kwa kigezo Gani?

NBC, Hio Man of the Match Kwa Camara imetolewa Kwa kigezo Gani?

Kazi ya kipa sio kudaka tu,Camara jana japiga oasi nyingi kuliko Mutale na kelvin kijili,jamaa ni kama beki ni kama kipa,ana footwork nzuri sana
Basi sawa endelelen.
Ipo siku mtakuja kupewa Golikipa wa msimu Kwa kua alipiga pasi Nyingi ila Hana cleansheet nyingi.
 
Tatizo la uto ni kudhani kila kitu kinaihusisha Uto. Sio kila jambo ni about utopolo. Mambo mengi tu uwanjani yanatokea kwa sababu tofati na wanaoamua wala hawajawafikiria utopolo kabisa. Sasa Diara anaingiaje kwenye mechi ya jana?
Asante Kwa kuchangia Uzi.
Ila next time elewa ndio ujibu...sio Kila kitu utani wa Simba na Yanga.

Nimeongea Leo ila ipo siku mtaelewa.
 
Nadhani Camara alipewa Man of the Match mechi ya jana kwa sababu alikuwa sana sehemu ya mchezo. Golikipa ana kazi zaidi ya kusave. Jana kapiga sana pasi ndefu ingawa inabidi afanye mazoezi zaidi accuracy za mipira yake, mingi inakuwa ya kugombania au inakuwa mirefu sana inaenda moja kwa moka kwa kipa wa pande wa pili au inatoka nje.

Moja ya sifa za Diarra ni kuwa pasi zake ndefu zinaenda moja kwa Moja kwa mchezaji anayemtaka ambaye yupo kwenye nafasi ya kuupokea mpira bila shida.

Man of the Match angekuwa Kapombe au hata Feisal.
Jana Camara amecheza nafasi tatu;
1. Kama Golikipa
2. Kama beki wa kati maana alikuwa akipanda mpaka eneo la sentafu
3. Kama kiungo kwa mipira yake mirefu kuwapasia viungo wa pembeni na kati ingawa accuracy ilipungua Kama ulivyosema.
Kiufupi alikuwa sehemu ya team katika ku ORGANIZE mchezo mzima.
3. Kama kiungo kwa
 
Good morning.
Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match.

Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa Shoot Moja la kulenga goli!!!

NBC hamfai kabisa...angefanya save hata 10 sasa si mngempa golikipa wa mwez au wa msimu tayar!

Au mliangalia kigezo kipi because golikipa Hadi anapewa Man of the Match ujue timu hio ilipigiwa sana mashoot ya kulenga goli (on target) na Ali save...Juzi kati si mliona golikipa wa Madrid kwenye Match ya UEFA vs Stuttgart Thibaut alipewa Man of the Match because of the saves ukibisha kaangalie Madrid alipigwa sana mashoot na alisave sana ipo mifano mingi kaangalien.

Kigezo Cha golikipa kupewa Man of the Match ni saves alikutana na mashoot mangapi na aka save...

Angalien Ederson pale Man city Hadi hua anapiga assist ulishakuta anapewa Man of the Match no because most of the games Huwa hapati kashikashi..

Ipo siku mtakuja kuitoa Man Of the Match Kwa Player Alie bench kisa kahamasisha wenzake wakafanya Comeback na wakashinda...Kama anavyofanyaga AZIZ KI.

Good Morning🇵🇹
Acheni chuki kutu msichokua na Elimu yake
 
Huu ndo ukweli. Nukta
Ccm wameiharibu sana Nchi.

Nimekandika Kila kitu hapo...hivi modern goalkeepers unamtoa Ederson wa Man City una mtoa yule wa Liverpool unakua wale hua wanapiga pasi ngapi?

Unajua hua wanatoa Hadi Assist ila ilulishakuta kapewa Man of the Match?

Ccm imeharibu sana hii Nchi watu hamfikirii Tena.
 
Jana Camara amecheza nafasi tatu;
1. Kama Golikipa
2. Kama beki wa kati maana alikuwa akipanda mpaka eneo la sentafu
3. Kama kiungo kwa mipira yake mirefu kuwapasia viungo wa pembeni na kati ingawa accuracy ilipungua Kama ulivyosema.
Kiufupi alikuwa sehemu ya team katika ku ORGANIZE mchezo mzima.
3. Kama kiungo kwa
Swali ni fupi sana au hua huangalii Mpiran wa Ulaya huenda ndio shida.

Camara anaweza zidi uwezo wa Ederson match vs Brentford alipiga Hadi Assist uliona alipewa Man of the Match?
Golikipa jukumu mama ni Kulinda goli hayo ya saiv ya kuchezesha team ni extra na hayaangaliwi huwez Kuta golikipa amekua rated eti Kwa kupoga pasi...

Golikipa the more anavyolinda goli ndio rate yake hua kubwa ndio ukweli..unaweza Kuta team nzima Ina rate ya 7.9+ imeshinda 7-0 ila golikipa ana rate ya 6.5 coz hakuteswa.
 
Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa Shoot Moja la kulenga goli!!!
Daah
Man of the match angepewa Kibu D au Fabrice Ngoma, hao jamaa walicheza mpira mwingi sana.
I see
Hao wote hamna jana ilitakiwa iende kwa namba sita wa Azam fc na si vingine ,jamaa alikichafua sana pale kati
Bas tufanye kila mmoja wenu asieridhika na Camara kuwa Man of the Match achague wa kwake mambo yaishe.
Amehusika kwenye build ups nyingi, na anticipation nyingi I hope utaelewa
🖕👆🖕👆🖕👆Sijui hawa wanazi kama wataelewa hiki ☝👆☝👆👆👆👆☝
 
Swali ni fupi sana au hua huangalii Mpiran wa Ulaya huenda ndio shida.

Camara anaweza zidi uwezo wa Ederson match vs Brentford alipiga Hadi Assist uliona alipewa Man of the Match?
Golikipa jukumu mama ni Kulinda goli hayo ya saiv ya kuchezesha team ni extra na hayaangaliwi huwez Kuta golikipa amekua rated eti Kwa kupoga pasi...

Golikipa the more anavyolinda goli ndio rate yake hua kubwa ndio ukweli..unaweza Kuta team nzima Ina rate ya 7.9+ imeshinda 7-0 ila golikipa ana rate ya 6.5 coz hakuteswa.
Naangalia na kufuatilia sana ligi za nje mkuu. Swali ulilojiuliza nami nilijiuliza na kulianalyse mwenyewe na kuja na hizo sababu nilizozielezea. Kitu cha kukuuliza what if wao NBC walikuangalia vigezo tofauti zaidi ya ulinzi golini?
 
Asante Kwa kuchangia Uzi.
Ila next time elewa ndio ujibu...sio Kila kitu utani wa Simba na Yanga.

Nimeongea Leo ila ipo siku mtaelewa.
Umeanza na kuzungumzia mchezaji wa Utopolo kwenye mechi ya Simba na Azam na hapo hapo nina hakika ingekuwa ni utopolo imecheza Diara akapewa tuzo usingeizungumzia Simba au Azam kuhusika sababu hakuna lolote zaidi ya kuipa utopolo uspecial kwenye kila tukio.
 
Naangalia na kufuatilia sana ligi za nje mkuu. Swali ulilojiuliza nami nilijiuliza na kulianalyse mwenyewe na kuja na hizo sababu nilizozielezea. Kitu cha kukuuliza what if wao NBC walikuangalia vigezo tofauti zaidi ya ulinzi golini?
Ulinzi wa shuti moja?
Ushabiki unawatawala zaidi.
Msimu uliopita alipewa Matampi ati kipa bora kwa kuwa na cleansheet nyingi.
Angalia idadi ya magoli aliyotunguliwa sasa, ni aibu kubwa!
Kwa sasa kipa bora ni Diarra.
Yule Mwarabu wa Simba anafuatia. Kisha Camara.
Wa nne kwangu ni kipa wa Kagera
 
Hata hivyo mkuu, Msimu uliopita umepita. Huu ni msimu mpya. Waliofanya vizuri wanaweza wakafanya tena vizuri au wakapoteza. Hata Diara anaweza akabaki katika ubora wake au akapoteza.
 
Ccm wameiharibu sana Nchi.

Nimekandika Kila kitu hapo...hivi modern goalkeepers unamtoa Ederson wa Man City una mtoa yule wa Liverpool unakua wale hua wanapiga pasi ngapi?

Unajua hua wanatoa Hadi Assist ila ilulishakuta kapewa Man of the Match?

Ccm imeharibu sana hii Nchi watu hamfikirii Tena.
Hata kama wazungu waluanzisha football haina maana kuiga kula kitu wanachofanya,vingine tujiongeze wenyewe,jana haikuwa derby ya maana,hakyna mchrzaji aliyecheza vizuri,awesu awesu kacheza vizuri ila dakika chache,sasa gata darada la wajinga lazima awepo namba moja na wa nwisho,ike mechi ilikuwa kama bonanza,acha apewe
 
Ccm wameiharibu sana Nchi.

Nimekandika Kila kitu hapo...hivi modern goalkeepers unamtoa Ederson wa Man City una mtoa yule wa Liverpool unakua wale hua wanapiga pasi ngapi?

Unajua hua wanatoa Hadi Assist ila ilulishakuta kapewa Man of the Match?

Ccm imeharibu sana hii Nchi watu hamfikirii Tena.
Hapa siyo EPL ya mambele. Hata anachofanya Camara bado ni vipya kwenye ligi yetu.

Kwani kumpata man of the match unatakiwa kutumia kanuni gani ya FIFA?

Kama hujui hujui tu na hiyo ccm yako iliyokufanya uwe na akili hiyo.
 
Zile kanzu na darizi alizokuwa akiwapiga washambuliaji wa Azam hukuziona..au unajizima data
 
Back
Top Bottom