NBC, Hio Man of the Match Kwa Camara imetolewa Kwa kigezo Gani?

Wewe utopolo unaandika kama upo chumbani kwa PDiddy. Ulitaka Diarra apewe hiyo tuzo wakati timu yake haikuwa na mechi jana? Au ulitaka apelekewe hapo Kidimbwini wakati hajacheza?
 
Ingekuwa kipindi cha swaumu ningewatetea hawa wachambuz wa wachezaji bora kuwa labda walivimbiwa daku! Ila seriously mchezaji bora anapewa golikipa mwenye save moja! Huu ni ujinga uliopitiliza๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Sahihi kabisa.

KIngine asichoelewa mleta mada, mechi ya jana wachezaji wengi wa timu zote mbili hawakuwa na kiwango kikubwa saaana. Mpira ulikuwa wa kugongana sana hasa Azam walioamua kucheza mpira wa nguvu zaidi na hiyo imeathiri performance ya mchezaji mmoja mmoja.
 
Ata kocha wasimba na yule mchezaji wa simba kupata tuzo bora ya mwezi haikuwa haki maana Singinda Black stars wamefanya vyema kuliko simba.
 
Hao unataka uwape MOT linganisha miss vs win zao Kwa huo mchezo , angalia pass accuracy , usidhanie Kwa keeper tunaangalia save tu pekee , keeper ni sehemu ya mchezo
 
Hiyo man of the match kaipata kwenye mechi vs al ahly tripoli, ndio zawadi kapewa jana.
 
Hao unataka uwape MOT linganisha miss vs win zao Kwa huo mchezo , angalia pass accuracy , usidhanie Kwa keeper tunaangalia save tu pekee , keeper ni sehemu ya mchezo
Hata Mchezaji aliepo bench ni sehemu ya mchezo so siku akipambana kama anavyofanyaga Aziz akawa kocha so atakua Man of the Match.
 
Asante Kwa kuchangia Uzi.
Ila next time elewa ndio ujibu...sio Kila kitu utani wa Simba na Yanga.

Nimeongea Leo ila ipo siku mtaelewa.
WEWE NDIO UMEANDIKA UTUMBO DIARA ANAHUSIKA VIPI KWENYE MECHI YA SIMBA VS AZAM? HOJA NI NZURI ILA ULIVYOMTAJA DIARA NIMEKUDHARAU NIMEKUONA NI SHABIKI MAANDAZI
 
Ata kocha wasimba na yule mchezaji wa simba kupata tuzo bora ya mwezi haikuwa haki maana Singinda Black stars wamefanya vyema kuliko simba.
USIPOST HUMU KAMA UMEKULA MAKANDE, HADI SASA HIVI SIMBA HAIJARUHUSU GOLI HATA MOJA NA IMEFUNGA MAGOLI MENGI KULIKO TIMU YOYOTE NA JEAN AHOUA NDIO MCHEZAJI ANAYEONGOZA KWA ASIST ANAZO 4 NA GOLI MOJA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ