NBC imenipotezea malengo yangu

NBC inakuwa na TABIA ya Benk ambazo zina UHABA wa Amana za Wateja na UHABA wa Mtaji na Kiwango kikubwa cha Non-Performing Loans.Benki za namna hiyo huwa ukitaka kufanya chochote kinachohusisha kusitisha huduma nao huwa wanakuhangaisha.

Ila kwa namna nilivyoitazama Hii benki Shida yake kubwa iko kwenye Quality of Employees.Kumejaa watu wa ajabu ajabu wengi ambao hawana ufahamu wa products zao na mfumo wao wa ufanyaji maamuzi uko very poor
 
Hili nakubaliana na wewe mkuu,.
Na kama wapo humu wahusika wasome na wajirekebishe watapoteza wateja
 
Hili ndilo naamini mkuu maana cha ajabu branch manager mwenyewe namuelezea shida hii naye anashangaa na hana majibu na anasema na yeye amewapigia makao makuu hadi wamekwazana!
 
Hili ndilo naamini mkuu maana cha ajabu branch manager mwenyewe namuelezea shida hii naye anashangaa na hana majibu na anasema na yeye amewapigia makao makuu hadi wamekwazana!
Mkuu kama wewe ni mfanyabiashara fanyia kazi ushauri wangu hapo Juu.Badili hio term loan iwe Credit Line ambayo unaitumia wakati unapohitaji kwa kuwaandikia tu barua na kiasi unachohitaji na nyaraka chache kisha wao wanakupatia mpunga Faster.Sema tu mm sio Marketing Manager wa Mabenk ile ningekushauri uende benki fulani fulani ukazungumze nao
 
Mkuu hivi unajua taratibu za mikopo bank zingine upoje?! Na je pia umewahi pata soma matangazo yao juu mikopo na muda wa kuitoa?! Sasa unapo sema sijajipanga sijui una maanisha lipi ilhali ndani ya siku mbili process zote nilizikamilisha na wao wakati naprocess waliniahidi ndani ya saa 48 kila kitu kitakuwa tayari?! Na elewa kwenye biashara si kila kitu kinakuja kwa taarifa rejea andiko langu tena!

 

Mzee wa Msoga aliwahi kusema "Bank si rafiki wa Masikini" huu msemo haujawahi kunitoka kichwani. Kwa kweli nilichukuwa hatua. Ukiniona bank ujue napaki gari naingia ofisi ya jirani.
 
Kesi yako inafanana na mzee mstaafu aliyetaka kutoa fedha zake bank fulani ili akanunue vipande vya uwekezaji kwenye taasisi X, bank ile ikawa inamzungusha. Kwa habati nzuri yule mzee alikuwa na Ndugu Biiootiii alipiga simu moja tu hela ilitoka fastaà.
 
Nakubaliana,mwaka 2022 nilienda kukopa kwenye hii Bank,mkopo wa mtumishi aisee walinikata kwanza kwenye mshara ndo nikapata pesa na hapo nishakaa mwezi na nusu toka niapply loan...
 
Mkuu,Unaelwa maana ya kauli yangu?Ninaposema Hujajipanga sizungumzi taratibu za kibenki.Nazungumzia Taratibu za kibiashara.Mfanya biashara haombi mkopo ghafla.Mfanya biashara anakua na Credi Line.Ndio maana nimeshauri hapo kwamba Waambia huo mkopo wa ugeuzi wa Standby Credit Line kwa ajili ya future USE ambao utautumia tu pale unapohitaji kwa namna ambayo utaona inafaa.Ukiwa Mbishimbishi utajikuta watu hawakupi Ushauri mzuri.Hata huko benki ukiwa mbishi mbishi utawachukia bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…