NBC imenipotezea malengo yangu

NBC imenipotezea malengo yangu

NBC sikuizi sijui wana shida gani,.. Nina mwezi wa pili sasa tangu nimeandika barua kwa meneja ili nitoe hela kwenye MALENGO ACCOUNT,. Na hapo mda wa kutoa hela ushafika na kupitiliza,. Hadi jana kila nikienda wanasema mtandao unasumbua kutoa malengo,. Ni suala linalofikirisha mtandao kusumbua zaidi ya mwezi
NBC inakuwa na TABIA ya Benk ambazo zina UHABA wa Amana za Wateja na UHABA wa Mtaji na Kiwango kikubwa cha Non-Performing Loans.Benki za namna hiyo huwa ukitaka kufanya chochote kinachohusisha kusitisha huduma nao huwa wanakuhangaisha.

Ila kwa namna nilivyoitazama Hii benki Shida yake kubwa iko kwenye Quality of Employees.Kumejaa watu wa ajabu ajabu wengi ambao hawana ufahamu wa products zao na mfumo wao wa ufanyaji maamuzi uko very poor
 
Hili nakubaliana na wewe mkuu,.
Na kama wapo humu wahusika wasome na wajirekebishe watapoteza wateja
 
NBC inakuwa na TABIA ya Benk ambazo zina UHABA wa Amana za Wateja na UHABA wa Mtaji na Kiwango kikubwa cha Non-Performing Loans.Benki za namna hiyo huwa ukitaka kufanya chochote kinachohusisha kusitisha huduma nao huwa wanakuhangaisha.

Ila kwa namna nilivyoitazama Hii benki Shida yake kubwa iko kwenye Quality of Employees.Kumejaa watu wa ajabu ajabu wengi ambao hawana ufahamu wa products zao na mfumo wao wa ufanyaji maamuzi uko very poor
Hili ndilo naamini mkuu maana cha ajabu branch manager mwenyewe namuelezea shida hii naye anashangaa na hana majibu na anasema na yeye amewapigia makao makuu hadi wamekwazana!
 
Mkuu kama wewe ni mfanyabiashara fanyia kazi ushauri wangu hapo Juu.Badili hio term loan iwe Credit Line ambayo unaitumia wakati unapohitaji kwa kuwaandikia tu barua na kiasi unachohitaji na nyaraka chache kisha wao wanakupatia mpunga Faster.Sema tu mm sio Marketing Manager wa Mabenk ile ningekushauri uende benki fulani fulani ukazungumze nao
 
Mkuu hivi unajua taratibu za mikopo bank zingine upoje?! Na je pia umewahi pata soma matangazo yao juu mikopo na muda wa kuitoa?! Sasa unapo sema sijajipanga sijui una maanisha lipi ilhali ndani ya siku mbili process zote nilizikamilisha na wao wakati naprocess waliniahidi ndani ya saa 48 kila kitu kitakuwa tayari?! Na elewa kwenye biashara si kila kitu kinakuja kwa taarifa rejea andiko langu tena!

Mkuu,Kwanza unapaswa kuelewa kwamba Benki haijaharibu Malengo yako bali ni wewe ulikuwa ujajipanga.Kama wewe ni Mfanya biashara unatakiwa uhakikisha kwamba Umeshakamilisha michakato ya kibenki kabla ya kupanga matumizi ya Pesa zao.Cha Muhimu sasa kama huo mkopo wa Casha huhitaji na umekamilisha taratibu zote waambie waugeuze uwe Standby Credit Facility Ila isiwe Overdraft usije itumie kunywea Bia.
 
NBC sikuizi sijui wana shida gani,.. Nina mwezi wa pili sasa tangu nimeandika barua kwa meneja ili nitoe hela kwenye MALENGO ACCOUNT,. Na hapo mda wa kutoa hela ushafika na kupitiliza,. Hadi jana kila nikienda wanasema mtandao unasumbua kutoa malengo,. Ni suala linalofikirisha mtandao kusumbua zaidi

Salaam moja kwa moja kwenye mada! Wiki mbili zilizopita nilipata bahati ya mzigo kwa bei rahisi! Basi nikawa na pesa nusu ya kuulipia na nusu iliyobaki nikaona nikope hii NBC! Na kumuahidi muuzaji ndani ya siku tano tu nitamalizia nikiwa na uhakika na hii bank hasa baada ya kuamini matangazo yao lakini mpaka leo ni siku ya 11 baada ya kukamilisha taratibu zoote! Jamaa karudisha pesa na kauza kwa mtu mwingine! Na nimeenda kusitisha mkopo wanadai process zote tayari kwenye mfumo ilihali pesa yao sijaingiziwa kiniumacho nia na lengo langu lishapotezwa ni hii BANK sasa hata hiyo pesa ikija dah!
Mzee wa Msoga aliwahi kusema "Bank si rafiki wa Masikini" huu msemo haujawahi kunitoka kichwani. Kwa kweli nilichukuwa hatua. Ukiniona bank ujue napaki gari naingia ofisi ya jirani.
 
NBC sikuizi sijui wana shida gani,.. Nina mwezi wa pili sasa tangu nimeandika barua kwa meneja ili nitoe hela kwenye MALENGO ACCOUNT,. Na hapo mda wa kutoa hela ushafika na kupitiliza,. Hadi jana kila nikienda wanasema mtandao unasumbua kutoa malengo,. Ni suala linalofikirisha mtandao kusumbua zaidi ya mwezi
Kesi yako inafanana na mzee mstaafu aliyetaka kutoa fedha zake bank fulani ili akanunue vipande vya uwekezaji kwenye taasisi X, bank ile ikawa inamzungusha. Kwa habati nzuri yule mzee alikuwa na Ndugu Biiootiii alipiga simu moja tu hela ilitoka fastaà.
 
NBC inakuwa na TABIA ya Benk ambazo zina UHABA wa Amana za Wateja na UHABA wa Mtaji na Kiwango kikubwa cha Non-Performing Loans.Benki za namna hiyo huwa ukitaka kufanya chochote kinachohusisha kusitisha huduma nao huwa wanakuhangaisha.

Ila kwa namna nilivyoitazama Hii benki Shida yake kubwa iko kwenye Quality of Employees.Kumejaa watu wa ajabu ajabu wengi ambao hawana ufahamu wa products zao na mfumo wao wa ufanyaji maamuzi uko very poor
Nakubaliana,mwaka 2022 nilienda kukopa kwenye hii Bank,mkopo wa mtumishi aisee walinikata kwanza kwenye mshara ndo nikapata pesa na hapo nishakaa mwezi na nusu toka niapply loan...
 
Mkuu hivi unajua taratibu za mikopo bank zingine upoje?! Na je pia umewahi pata soma matangazo yao juu mikopo na muda wa kuitoa?! Sasa unapo sema sijajipanga sijui una maanisha lipi ilhali ndani ya siku mbili process zote nilizikamilisha na wao wakati naprocess waliniahidi ndani ya saa 48 kila kitu kitakuwa tayari?! Na elewa kwenye biashara si kila kitu kinakuja kwa taarifa rejea andiko langu tena!
Mkuu,Unaelwa maana ya kauli yangu?Ninaposema Hujajipanga sizungumzi taratibu za kibenki.Nazungumzia Taratibu za kibiashara.Mfanya biashara haombi mkopo ghafla.Mfanya biashara anakua na Credi Line.Ndio maana nimeshauri hapo kwamba Waambia huo mkopo wa ugeuzi wa Standby Credit Line kwa ajili ya future USE ambao utautumia tu pale unapohitaji kwa namna ambayo utaona inafaa.Ukiwa Mbishimbishi utajikuta watu hawakupi Ushauri mzuri.Hata huko benki ukiwa mbishi mbishi utawachukia bure.
 
Back
Top Bottom