Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Ninakoelekea ikiwezekana kutoa natoa tu zote nawatelekeza na account yao,. Maana wanaharibiana mipango,. Ingekua haijafika mda kweli,. Mda umefika na kupitiliza na sikuwahi kutoa hata mara mojaKama unafunga account utateswa sana