NBC PL 2024: Updates Yanga vs Azam 17/ March 2024 Mkapa Stadium

Hii App ni mpaka ulipie vifurushi vya Azam..?
Yani hiyo app unaweza ukatizama bila kifurushi na ukatizama na kifurushi.
Una sehemu ya kufungua kwa smart card ya king'amuzi hata cha mtu na kuna sehemu unatizama kwa bundle tu bila kifurushi.
Chaguzi ni yako.
Kama una jamaa ana azam tv unamuomba utumia smartcard number zake kama hauna basi tumia kikawaida.
 
Makolo ebu semeni mapema kabla mechi haijaanza , vipi na Azam wamenunuliwa? Semeni kabla hawajala 3G.
 
Rudi tuu kushabikia timu iliyopo damuni maana kila siku ooho nawaonea huruma sasa mbona kila uzi upo unachangia?
Huyo jamaa yako hata mimi huwa namuona kama kapagawa!!
Mara kaacha kushabikia Simba na Yanga, mara JF imeshuka hadhi, kiufupi jamaa hawezi kusimamia anacho kiamini.

Ningemuelewa kama angeacha kuchangia jukwaa la michezo, majukwaa mbona yapo mengi humu!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…