NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Muda mchache ujao, kutakuwa na mchezo mkali kati ya Mtibwa Sugar Vs Yanga Sc

Mchezo huo unategemewa kuvuta hisia za mashabiki wengi, kwani Mtibwa anaonekana kama mgumu akiwa uwanja wa nyumbani.

Je, Yanga ataweza kuibuka na alama zote tatu ugenini? Mpira dakika 90, tukutane hapa kwa updates za mechi hiyo!!

1DB972FB-6B37-4EF2-BA90-F80F9281A853.jpeg


5C538623-D6B7-449F-8949-8D775056DBFB.jpeg
 
Manara anatakiwa BAKITA ndio habari ya mjini msitutoe kwenye njia na hatutaki hayo mengine.
 
Tena wana zali wamekuta uwanja umeboreshwa
 
Mwenendo wa wiki ni 2 kavu mwenyeji akishinda.
 
Diara
Djumaa
Farid
Bangala
Mwanyeto
Aucho
Sure Boy
Nkane
Saido
Fay Toto
Mayele
 
Back
Top Bottom