NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

Ndio level za utopolo hizo kuwakamia wadogo zake
Ni kweli ndo maana hata ngao ya jamii tulimkamia mdogo pia na bado kwenye ligi tukamkamia mdogo hadi tukatoka 0.0. Upo sahihi 100%
 
Yanga daima
Pana utundu wa sure boy pana utundu wa faisal pana ufundi wa aucho pana harakati za tibazonkiza pana kashkash za mayele unaponaje hapo?ukipata sare shukuru. Na bado utatu huo wa fey sure boy na aucho haujakolea ukitulia huo ni ushindi tu.
 
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚🤣🤣🤣🤣🤣 Shadeeya leta Panadol huku watu vichwa vinauma
Hahahaaaa. Imebidi nije nazo Mkuu sababu najua mpaka leo havijapona bado. 🤣

+ mechi na Kagera Sugar juzi Sunday.😀
 
Back
Top Bottom