NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

Tumecheza na Police ,Prisons,Mtibwa,Mbeya kwanza,Namungo, Coastal Union na zingine kama nimesahau wananchi nikumbusheni.........mechi nyingi mzunguko wa 2 tunacheza Kwa Ben hapo ,chache nje.....Simba anamechi nyingi zaidi kwenye mashamba ya mpunga mikoani kuliko sisi......so pole sana
Na mnavyojua kulia lia mtatafuta huruma
 
Yanga kamfunga Mtibwa - Simba katoka sare na Mtibwa, tatizo???
Timu zipo kuuuuubwa uwekezaji lukuki ushindi mdogo wa ajabu ajabu au sare na timu hiyo ndogo kipesa .
Simba na Yanga ligi yoooote hii wanacheza wao hata kama hawachezi - waharibifu wa kubwa wa mpira Tanzania.
Hovyo kabisa, afadhali ya Simba kidogo wanapambana kimataifa.
Viinginevyo ndio virusi wa mpira Tz.
 
Pumbavu eti mnaomba dua

Mkishashinda muanze kutusi

Mnafanya uhuni kama marapa wa kimarekani

Title la nyimbo "fck that btch"

Ngoma ime hit sasa umealikwa Kwenye interview kuelezea nini kimesababisha ngoma hiyo kupendwa

unaanza kusema "kabla ya hapo nilimuomba sana mungu na akanisikia"

Tukueleweje
Unateseka Sana kolo
 
Back
Top Bottom