Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyeji analala mapema ru.Mwenendo wa wiki ni 2 kavu mwenyeji akishinda.
Manara anatakiwa BAKITA ndio habari ya mjini msitutoe kwenye njia na hatutaki hayo mengine.
Amewasugulia kunguni kwa kutoa tafsri ya KOLO na kuonyesha baraza ndio waliotafsiri. Eti utopolo ni lopolopo la Simba by BAKITAKafanyaje
Mkuu Kwa Young Africans Hii Hata Uwanjani Umwage Misumari Mpira Tu Ndio Utatoboka Ila Full Time Ushindi Lazima.Leo lazima kuna watu watapiliza Dar
Dakika 7 zijazoGame saa 1?
Huyo si ndo kasema Yanga tamuLeo hata tukimpanga marioo bado tunashinda
Dakika 7 zijazo
[/QUOTyE] ok
Mtibwa wamejichokea sana hawana ubavu wa kuwazuia "Gongowazi"japo mpira unadunda!!!Mtibwa 2-0 Utopolo
Saa 10 na timu ndio zimeingia uwanjaniGame saa 1?
Nakubaliana na kauli yako, Mtibwa sio wa kuwawekea dhamanaMtibwa wamejichokea sana hawana ubavu wa kuwazuia "Gongowazi"japo mpira unadunda!!!
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Leo 4-0 tunakula miwa iliyowashinda.Huyo si ndo kasema Yanga tamu
Vipi kuhusu mashabiki?
Hajasema chochote?