NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

Kipa wa mtibwa anafelishwa na wachezaji ila akisimama kwenye timu yenye wachezaji wakali ni bonge la nyanda
 
Yanga akitaka kushinda atumie vizuri mipira ya krosi au kona kinyume chake hapa nae anaweza akaambulia point moja.
Muda mchache ujao, kutakuwa na mchezo mkali kati ya Mtibwa Sugar Vs Yanga Sc

Mchezo huo unategemewa kuvuta hisia za mashabiki wengi, kwani Mtibwa anaonekana kama mgumu akiwa uwanja wa nyumbani.

Je, Yanga ataweza kuibuka na alama zote tatu ugenini? Mpira dakika 90, tukutane hapa kwa updates za mechi hiyo!!

View attachment 2128590

View attachment 2128591
 
Hizi ni dharau sasa...haiwezekani Jimson Mwanuke alale Uturuki halafu Mayele alale Manungu.
 
Back
Top Bottom