NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

Kila lakheri Ndemla fanya kama unatuma mashuti yako yale amna kipa pale kwa Vyura

Kila la kheri AME nakuaminia ubavu wako beki mmoja matata sana sidhani kama yule anaetetema kama chura atapita leo

Kila la kheri Manungu De espanol Stadium
 
Mayele anapoteza mipira kirahisi sana, farid naye anajiangusha angusha tu ili kubustiwa na refa
 
Yanga naombeni mnikumbushe tena top scorer wa ligi ni nani?
 
Angalieni naye huyu mayele, yuko kwenye hard position to score lakini mchizi anakuwa mchoyo wa pasi matokeo yake anapiga offtarget na mpira unakuwa goal kick
 
Back
Top Bottom