NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

32' Fiston Mayele anapiga shuti na kupaisha bado ni 0-0
Huyu jamaa kashapagawa na zile sifa, sasa ana force kila mechi afunge ili awe na muendelezo wa ujiko

Katika moment ngumu kama hii ambayo nafasi ukiipata unatakiwa uitumie vizuri kulingana na mazingira ya uwanja yalivyo lakini anakuwa mchoyo

Haya ebu mcheki nkane hapo kapiga shuti ambalo limekuwa rahisi sana kwa kipa, umakini sijui ni papala au namna gani ila hii ilikuwa nafasi nzuri kwao
 
Amezingua sana
 
Wachezaji wa Yanga wanajaribu kumshinikiza refa azidishe umakini kutokana na ubabe wa Mtibwa
 
Muda mchache ujao, kutakuwa na mchezo mkali kati ya Mtibwa Sugar Vs Yanga Sc

Mchezo huo unategemewa kuvuta hisia za mashabiki wengi, kwani Mtibwa anaonekana kama mgumu akiwa uwanja wa nyumbani.

Je, Yanga ataweza kuibuka na alama zote tatu ugenini? Mpira dakika 90, tukutane hapa kwa updates za mechi hiyo!!

View attachment 2128590

View attachment 2128591
leo nishaona draw hapa!daaah
 
Pumbavu eti mnaomba dua

Mkishashinda muanze kutusi

Mnafanya uhuni kama marapa wa kimarekani

Title la nyimbo "fck that btch"

Ngoma ime hit sasa umealikwa Kwenye interview kuelezea nini kimesababisha ngoma hiyo kupendwa

unaanza kusema "kabla ya hapo nilimuomba sana mungu na akanisikia"

Tukueleweje
 
Muda mchache ujao, kutakuwa na mchezo mkali kati ya Mtibwa Sugar Vs Yanga Sc

Mchezo huo unategemewa kuvuta hisia za mashabiki wengi, kwani Mtibwa anaonekana kama mgumu akiwa uwanja wa nyumbani.

Je, Yanga ataweza kuibuka na alama zote tatu ugenini? Mpira dakika 90, tukutane hapa kwa updates za mechi hiyo!!

View attachment 2128590

View attachment 2128591
YANGA lia lia , wanapigwa 1.
 
Djuma bado naamini anauwezo wa kufunga endapo urefu wa magoli ukaongezwa kimo chake
 
Back
Top Bottom