NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

Tupo kwenye uchunguzi wa mwanaume anae shabikia yanga tunomba radhi kwa kuchekewesha jina
 
Kama Marefa Wangetenda Haki Mechi Ya Simba Vs Tz Prisons, Simba Vs Mbeya Kwanza Na Yanga Vs Mbeya City Saiv Kuna Watu Wangekuwa Na Hali Mbaya Sana [emoji2217]
 
Kuna watu wanateseka na haya Matokeo..

Wapi Makolokolo.
Tunamsubiri zamu yenu muendelee kubebwa na magoli ya penalty za mchongo...
Si Huwa hatushindi kwa penalty za michongo.. tu afunga magoli kibao mengine tunawaachia waendelee kuyakataa..

Ni wivu tu dadeq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…