NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

Oh, my God!the ball has not stopped to that extent but referee has added five minutes. Jamani jamani jamani utopolo has favoured to score a goal!!
 
Kwahiyo Yanga ndio mmeamua msifungwe?

Sawa bhana!!.
 
Baada ya yanga kulalamika kuhus kutopewa dakika nyinginza nyongeza hatimaye leo kilio chao kimesikika

zimeongezaa 5
Mpira yamesimama kwA muda kufuatia faulo ya kihimbwa
 
Kwahiyo waliongeza dakika tano kisha mtibwa wakafungiwa miguu na mikono ili wao wasijepata goli? Dakika zinaongezwa kwa timu zote mbili. Vipi kama mtibwa wangepata goli? Ungesemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…