NBC Premier League: Police Tanzania 0-1 Simba SC (27/10/2021)

Kwanini kaka?, sipo kwenye kideo
hamna kitu hapa ,hii timu tuna Onyago ,Inoga Manula wengine hamna lolote hasa hawa wengine wa kimataifa,polisi wamekaa kujilinda sana ila mfano wafunguke na kushambulia Simba wanafurahishwa,hii Simba bado sana
 
Hawa makocha nikama hawaijui Simba sijaona lengo la kufunga kabisa
 
I Inafungwa tena hii timu leo.wakijitahidi sare
 
Nilisema hawa polisi wakifunguka na kushambulia Simba wanafungwa
 
Polisi Tz Wameamua Kufanya Mambo Mawili tu... Kushambulia kwa Kushtukiza na Kurudi Kupaki Ndinga...!
Swali Simba Watategua huo mtego?... Tusubiri.
 
Huu mpira hauridhishi kabisa, hii sio simba tuliyoizoea
 
Mmesajiri vituko tupu sanko hamzidi chochote Ajibu na uyo Banda hawazidi ata madogo wa biashara kina Denis nkane
 
Polisi watakaza ila mwisho wa Game lazima wafungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…