We acha tu mkuu, hii simba ya saizi inatufelisha sanaDah... Sa mbona umewahi kutoka Mkuu.
penalty ya halali lakini, au we kwa upande wako unaonaje?Refa ndo kaokoa jahazi
kwasababu ya penalty huh?Bora kutizama X sio upuuzi huu
hamna tm hapoWe acha tu mkuu, hii simba ya saizi inatufelisha sana
Hilo mtajuana we na refaRefa ndo kaokoa jahazi
Sio kindezi kama unavyo fikiriaKwisha habari yenu .mjikite kwenye kutangaza matangazo ya kanjibai sasa
HakiBora kutizama X sio upuuzi huu
Ila kiwango kibovu.!Poleni Sana UTOPOLO...! Fitna Zimeshindikana Leo..!
Maskini bila penati ushindi ni draw,hii timu tunakazi sana,wala hakuna haja ya kushangilia sana maana tunacheza kama tunabahatisha tu.Poleni Sana UTOPOLO...! Fitna Zimeshindikana Leo..!