OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Prison iliwekewa 23m na YangaSimba ikiwa uwanjani hua inacheza na timu nyingi sana.
Unaweza Kuta mfadhiri wa timu anaifadhiri timu B inayocheza TU na Simba siku hiyo.
Heee.Huu sasa ni ushamba.
Mhasibu katika 1 na 2
Ule umepitwa na wakati. Tafadhali nendeni na wakatiMhasibu katika 1 na 2
Tunasubiri hesabu zaki hasibu kwenye uzi wako ule
Jana Mayele katia kambani bwana muhasibuUle umepitwa na wakati. Tafadhali nendeni na wakati
Simba ni kubwa mno kuliko tunavyoijua.Prison iliwekewa 23m na Yanga