NBC: Timu yangu inaongoza, yako nafasi ya 3

NBC: Timu yangu inaongoza, yako nafasi ya 3

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
erasto1590_cfae42224c084448b824b04fb6fd6a7d.jpg
 
Kuongoza ligi na jambo la ajabu sana kwenu mpaka kufungua uzi kila siku mnapoongoza.

Makolo ndio kawaida kuhadaika na mambo madogo ;
*Goli la Sakho
*Kiatu cha mpole
*CAF kuwapost nk.
 
Kuiona Simba ikiongoza ni sawa na punda kukaa juu ya mti, kama si wamapambo basi ujue kabebwa na kuwekwa apo.
Shida si kumpandisha punda juu ya mti na kumweka apo, shida ni kumzuia punda aendelee kukaa apo.
Sisi yetu macho[emoji3][emoji3][emoji38]
 
Back
Top Bottom