NBC wametangaza kazi za direct sales. Naomba msaada wanaozijua

NBC wametangaza kazi za direct sales. Naomba msaada wanaozijua

Kazi nyingi za sales Malipo ni ya commission lakini kutakuwa na zawadi nyingi ukifika target. Changamoto kwa bank ya NBC hawana matawi kwenye miji midogo hivyo hata wateja wake ni wachache
 
Back
Top Bottom