REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Kwa zile kauli za Anne Makinda sijui ngoja tuone. Maana watu wanapiga hesabu za kukunja 1.3M lakini sidhani.Hamna kazi humo ....ni Chaka la upigaji tu....watu wameshapelekana TAKUKURU π€£π€£π€£π€£.....
Uzalendo kwanza π€£π€£π€£π€£ . ...Hakuna mahali wameshalipa nasikia.
Maana kama kamati za sensa za mikoa na wilaya hajiwai lamba posho vipi hawa wengine?Uzalendo kwanza π€£π€£π€£π€£ . ...
Watakuwa WEHU wasipokuwa nayo. Sensa ni Baada ya miaka 10 wakosaje kujipanga!!? Issue sio kutokuwapo Bali uhalisia na uhalali wa malipo ndio chenga. Kuna watu wamepigwa nyie acheni. Watu wanalamba asali.Maana kama kamati za sensa za mikoa na wilaya hajiwai lamba posho vipi hawa wengine?
Nimejaribu kuwaza 1.3M zidisha kwa makarani 250,000 nchi nzima. Mwigulu ana hiyo hela kweli?
...Hakuna Sensa. Ni kuahana TU na Zoezi lenyewe! Matokeo hayatakuwa Halisi!Watakuwa WEHU wasipokuwa nayo ....sensa ni Baada ya miaka 10 wakosaje kujipanga!!? Issue sio kutokuwapo Bali uhalisia na uhalali wa malipo ndio chenga..... Kuna watu wamepigwa nyie acheni .... Watu wanalamba asali....
Nimekokota hapa ni biliioni 350+.......hela ndogo sana kwa gvt,labda waibe wa katikati ila mwigulu anayo tayarMaana kama kamati za sensa za mikoa na wilaya hajiwai lamba posho vipi hawa wengine?
Nimejaribu kuwaza 1.3M zidisha kwa makarani 250,000 nchi nzima... Mwigulu ana hiyo hela kweli?
Kwa akili ya kawaida tu unamuwekaje mtu mafunzo kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa kumpa chai na chakula cha mchana siku kumi hata mia ujampa je kama uyu mtu ana familia na mwangaikaji si unaumiza familia yake je kama anatokea umbali wa kilometa ishirini mpaka eneo la semina hiyo nauli kuja na kurudi si uhuni huu kama walikuwa hawajipanga wangeaacha siyo kuweka watu ten days hata mia ujawapa uzalendo gani huoWatakuwa WEHU wasipokuwa nayo ....sensa ni Baada ya miaka 10 wakosaje kujipanga!!? Issue sio kutokuwapo Bali uhalisia na uhalali wa malipo ndio chenga..... Kuna watu wamepigwa nyie acheni .... Watu wanalamba asali....
Na kwa mtindo huu Kuna watu watalipwa wataingia mitini hawatawaona na pesa wamechukua yani hata waseme tunawapa pesa ya siku tano nyingine tutawamslizia Kuna watu wataishia hapo hapo washanajisi zoeziKwa staili hii wataaribu Kazi.
Billion 350+ ni pesa ndogo kuelekezwa kwenye malipo tu achilia mbali vifaa na logistics zingine? Kwa Nchi maskini kuelekeza mapesa yote hayo kwa kazi ya mwezi unaita hela ndogo? Hahahaha you cant be serious!!Nimekokota hapa ni biliioni 350+.......hela ndogo sana kwa gvt,labda waibe wa katikati ila mwigulu anayo tayar
Kwa akili ya kawaida tu unamuwekaje mtu mafunzo kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa kumpa chai na chakula cha mchana siku kumi hata mia ujampa je kama uyu mtu ana familia na mwangaikaji si unaumiza familia yake je kama anatokea umbali wa kilometa ishirini mpaka eneo la semina hiyo nauli kuja na kurudi si uhuni huu kama walikuwa hawajipanga wangeaacha siyo kuweka watu ten days hata mia ujawapa uzalendo gani huo
Uhuni mwingine wanambiwa mtalipwa kupitia bank, haya bank gani eti yoyote Ile wewe leta account bank πππ si wanapigwa hawa huo mchakato wa kuandaa playlist upeleke CRDB watu nane uende NBC watu kumi uende NMB watu ishirini ππ dah yani unawaza unaona hapa Kuna usanii
Ma...me...mi..mo.muuuu Wana simbaa in ahamed ally voiceMi kwa kauli hii ya huyu mama sidhani kama watu hawajapigwa hapa.