Niende moja kwa moja kwenye hoja tangu semiza zianze ni siku ya kumi na moja Leo Kuna baaadhi ya halmashauri hazijalipa hata Senti moja swali hao Wana semina wanaishije usafiri, nk
Angalizo Kuna uhuni unaendelea watu wanawatoa watu wamekaa siku nane semina wanaleta watu wao zile siku nane wanajiandikia wao
Wito kama mtu kafukuzwa alipwe pesa yake na kwanini watu wakae semina siku zaidi ya tano bila malipo kwanini huo si uhuni na mazingira ya upikagi
Mama makinda watch out Kuna uhuni unaendelea kama hamjatoa pesa semeni.