Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatakiwa taarifa yako iwe na maelezo kamili ya halmashauri gani imefanya hivyo na lini na nani msimamizi wa kituo na idadi ya walio fukuzwa ili iweze kufanyiwa kaziNiende moja kwa moja kwenye hoja yangu, semiza zianze ni siku ya kumi na moja Leo kuna baaadhi ya halmashauri hazijalipa hata senti moja. Swali, hao wanasemina wanaishije, usafiri, nk?
Angalizo, kuna uhuni unaendelea watu wanawatoa watu wamekaa siku nane semina wanaleta watu wao zile siku nane wanajiandikia wao.
Wito, kama mtu kafukuzwa alipwe pesa yake, na kwanini watu wakae semina siku zaidi ya tano bila malipo? Huo si uhuni na mazingira ya upigaji?
Mama Makinda watch out! Kuna uhuni unaendelea kama hamjatoa pesa semeni.
Nchi ya ovyo hiiNiende moja kwa moja kwenye hoja yangu, semiza zianze ni siku ya kumi na moja Leo kuna baaadhi ya halmashauri hazijalipa hata senti moja. Swali, hao wanasemina wanaishije, usafiri, nk?
Angalizo, kuna uhuni unaendelea watu wanawatoa watu wamekaa siku nane semina wanaleta watu wao zile siku nane wanajiandikia wao.
Wito, kama mtu kafukuzwa alipwe pesa yake, na kwanini watu wakae semina siku zaidi ya tano bila malipo? Huo si uhuni na mazingira ya upigaji?
Mama Makinda watch out! Kuna uhuni unaendelea kama hamjatoa pesa semeni.
Huwezi kufurushwa bila sababu, wekeni pia sababu za kufurushwa sio kulialia tu…. na bado posho ya semina yoyote haijawahi kutolewa kabla ya kazi.Mitihani watu wamepata 100% sasa sijui hoja yako nn?!
Huku nilipo hukuna mtu kafukuzwa hila kuhusu posho ni 0-0 na kuhusu logistics Ni kwel hawana Ni kuhusu mitihan watu wamepata 100 90%Huwezi kufurushwa bila sababu, wekeni pia sababu za kufurushwa sio kulialia tu…. na bado posho ya semina yoyote haijawahi kutolewa kabla ya kazi.
MMh,Mambo mengine watanganyika tunapenda kulalamika Sana,hivi wakati munaomba hiyo kazi hamkuambiwa hiyo kazi Ni ya kizalendo?!!Kwa akili ya kawaida tu unamuwekaje mtu mafunzo kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa kumpa chai na chakula cha mchana siku kumi hata mia ujampa je kama uyu mtu ana familia na mwangaikaji si unaumiza familia yake je kama anatokea umbali wa kilometa ishirini mpaka eneo la semina hiyo nauli kuja na kurudi si uhuni huu kama walikuwa hawajipanga wangeaacha siyo kuweka watu ten days hata mia ujawapa uzalendo gani huo
Uhuni mwingine wanambiwa mtalipwa kupitia bank, haya bank gani eti yoyote Ile wewe leta account bank 😂😂😂 si wanapigwa hawa huo mchakato wa kuandaa playlist upeleke CRDB watu nane uende NBC watu kumi uende NMB watu ishirini 😂😂 dah yani unawaza unaona hapa Kuna usanii
Watz wengi ni wahuni especially linapokuja suala la pesaNa kwa mtindo huu Kuna watu watalipwa wataingia mitini hawatawaona na pesa wamechukua yani hata waseme tunawapa pesa ya siku tano nyingine tutawamslizia Kuna watu wataishia hapo hapo washanajisi zoezi
Kupikwa data ni jambo la kawaida tumeiga kwa viongoz wetuHii nchi ngumu Sana
Karani ambaye ndo kitovui cha sensa wana-mtreat Kama monster then wana-expect data sahihi kutoka kwa Mtu alijichokea na maisha
Hili nalo nenden mkalitizameWenye mamlaka watakuambia zipo kwenye mchakato ni mambo ya kiserikali. Kila sehemu kulipana mpaka tuvutane tupigane kwanza eeehh lipeni watu hela zao.
Kaa ukisubiri kuna kima itakuonea hurumaUnategemea nini kutoka kwa Anne Makinda? Watu wale waleee, chama kile kileee..., CCM ni ile ileee! Eti kauli, jamani kuweni serious, oneni aibu japo kidogo.
KIjana wa watu anahudhuria semina kwa zaidi ya wiki, hapewi hata senti tano. Baada ya wiki anafukuzwa kama mbwa, halipwi hata senti tano.
Vifaa walivyotakiwa kupewa kuwawezesha katika semina vimeota mbawa. Je hivyo vifaa viko wapi. Sasa wanatakiwa watumie simu zao, jameni oneni aibu.
Vijana wanateseka, nauli zimepanda...hakuna pesa, hakuna vifaa, hicho chakula...wewe acha tu. Wamewakosea nini hawa vijana msikini? Kuweni japo na huruma!
Hapo kuna wahuni walipiga hiyo helaKuna watu walifanyakazi ya chanjo ya polio hawajalipwa hadi leo, THIS IS TZ
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Je una hakika hao wahuni hawapo tena? Nchini Tanzania au ndani ya CCM? Are you serious?Hapo kuna wahuni walipiga hiyo hela
Hakuna mahali wameshalipa Halmashauri za Iringa Mbeya wamelipa 5 days
Hakika
Acha wakome hawakulazimishwa kuomba waliomba wenyewe means hawakuwa na kazi za kufanya huku nje ndo wamepata sasaKwa akili ya kawaida tu unamuwekaje mtu mafunzo kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa kumpa chai na chakula cha mchana siku kumi hata mia ujampa je kama uyu mtu ana familia na mwangaikaji si unaumiza familia yake je kama anatokea umbali wa kilometa ishirini mpaka eneo la semina hiyo nauli kuja na kurudi si uhuni huu kama walikuwa hawajipanga wangeaacha siyo kuweka watu ten days hata mia ujawapa uzalendo gani huo
Uhuni mwingine wanambiwa mtalipwa kupitia bank, haya bank gani eti yoyote Ile wewe leta account bank [emoji23][emoji23][emoji23] si wanapigwa hawa huo mchakato wa kuandaa playlist upeleke CRDB watu nane uende NBC watu kumi uende NMB watu ishirini [emoji23][emoji23] dah yani unawaza unaona hapa Kuna usanii
Bil 350+ ingekua pesa ndogo kama ndio ingekua pesa ya zoezi zima. Hiyo ni pesa ya kulipa makarani tu, achilia mbali wengine. Pia kuna mchakato wa hadi sensa kufanyika na kumalizika.Nimekokota hapa ni biliioni 350+.......hela ndogo sana kwa gvt,labda waibe wa katikati ila mwigulu anayo tayar
Alisema chini ya laki 5. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa zile kauli za Anne Makinda sijui ngoja tuone. Maana watu wanapiga hesabu za kukunja 1.3M lakini sidhani.
Niliona hili piaNdio maana wenye ajira walikatwa Ili wachukuliwe jobless..
Maana ingekuwa mtiti sana
Kuna baadhi ya sehemu kuna dosari kidogo na hii inatokana na Kuna watu wanamchukia poa sana raisi wetu. Mimi nitawataja na raisi atawachukulia hatua kali.Umeandika mawazo yako kwa hisia zako tu, kama na wewe ni mmoja wa waliofurushwa kutokana na kufeli mafunzo usilielie….. malipo siku zote ni baada ya semina.