DOKEZO NBS toeni tamko: Ulipaji wa pesa za semina za Sensa kuna uhuni unafanyika

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ukweli nchi hii bado haijapata Viongozi ila ina kusanyiko la wajinga waliojipa jukumu la kuongoza wenye akili.
Katika hali ya kawaida tu, unawezaji kuwaweka watu bila posho yao kwa siku tena ukijua wengi wao ni wale wasiokuwa na ajira halafu unategemea matokea chanya... Mfumo wetu wa kupata Viongozi ni wa dhambi sana kiasi kwamba tunapata Viongozi wasiokuwa na huruma na wengi wakiwa wezi wakubwa.
.
 
zoezi limeingiliwa na rushwa, dhuluma na uonevu mkubwa kuanzia kwenye usaili hadi semina yenyewe. Mungu waondolee kiburi watu kama hawa. Serikali iko vizuri tatizo watendaji wake ni hovyo kabisa wabinafsi sana.
Uzuri wa serikali upo wapi
 
Nchi imekuwa ya hovyo yaani kila kitu ni hisani, bajeti ya sensa makarani mtalipwa tu…. acheni kuona kama ni huruma au kuhisi kutapeliwa.

Ni bora kutumia Walimu tu kuliko hawa watoto hawajui taratibu za kiofisi, muda wote kulialia na kuropoka….. mnakera sana.
 
Kwa akili ya kawaida tu unamuwekaje mtu mafunzo kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa kumpa chai na chakula cha mchana siku kumi hata mia ujampa je kama uyu mtu ana familia na mwangaikaji si unaumiza familia yake je kama anatokea umbali wa kilometa ishirini mpaka eneo la semina hiyo nauli kuja na kurudi si uhuni huu kama walikuwa hawajipanga wangeaacha siyo kuweka watu ten days hata mia ujawapa uzalendo gani huo

Uhuni mwingine wanambiwa mtalipwa kupitia bank, haya bank gani eti yoyote Ile wewe leta account bank [emoji23][emoji23][emoji23] si wanapigwa hawa huo mchakato wa kuandaa playlist upeleke CRDB watu nane uende NBC watu kumi uende NMB watu ishirini [emoji23][emoji23] dah yani unawaza unaona hapa Kuna usanii
Hiyo ya kukupelekea fedha yako benki ni njia salama zaidi.
Fanya kazi mpaka mwishoni ndipo ulalamike. Sasa ukilipwa fedha mapema halafu ukaingia mitini si itakuwa hasara hiyo?, Na nani atailipa hiyo hasara?
Kwahiyo, hiyo ni njia ya kuwabana ili msitoroke na kuiacha kazi njiani.
Hivyo, subiri zoezi Zima la sensa liishe baada ya hapo toa malalamiko yako. Kwasababu, wafanyakazi wa serikali huwa wanalipwa mshahara baada ya kazi na nyinyi kazi yenyewe bado.
 
Huku walichukua asilimia kubwa vijana waliomaliza form four ambao wengi bado wanaishi kwa wazazi wao. Bahati mbaya ni kwa wale waliokuwa na vibarua vyao vya kuingiza hata buku 5 kwa siku
 
Ukweli nchi hii bado haijapata Viongozi ila ina kusanyiko la wajinga waliojipa jukumu la kuongoza wenye akili.
Katika hali ya kawaida tu, unawezaji kuwaweka watu bila posho yao kwa siku tena ukijua wengi wao ni wale wasiokuwa na ajira halafu unategemea matokea chanya... Mfumo wetu wa kupata Viongozi ni wa dhambi sana kiasi kwamba tunapata Viongozi wasiokuwa na huruma na wengi wakiwa wezi wakubwa.
Kama sio upotoshaji basi watu wa aina ya ni wapuuzi wakubwa, posho ni kwa ajili ya kazi na kuna taratibu zake….. mtu halipwi kwa huruma eti hakuwa na ajira.

Alikuwa anaishije, acheni upuuzi…. bora turejeshe walimu tu.

Ni ajira ipi unalipwa kabla ya kazi?
 
MMh,Mambo mengine watanganyika tunapenda kulalamika Sana,hivi wakati munaomba hiyo kazi hamkuambiwa hiyo kazi Ni ya kizalendo?!!
Kazi ya SENSA siyo biashara ni kazi ya kizalendo zaidi hivyo acheni lawama za kijinga.
Huyo mzalendo mwenyewe na yeye anahitaji kula,
 
Sensa imekosa coordination,na serikali inapaswa kuingilia kati haraka kabla mafunzo hayajaharibika.
Uhuni wa Sensa upo hivi.

Ni zoezi pekee lisilokuwa na mwongozo wa malipo kwa wahusika,kama mwongozo upo basi Waratibu wa sensa Mikoa na wilaya wameificha.

Mazoezi yote ya kitaifa huwa yanaanza na kutaja maslahi ya washiriki kwa kika kundi,ili kuondoa sinto fahamu huwa wanansomewa siku ya kwanza.

Huwa inafanywa hivyo kwa mazoezi nyeti ya kitaifa.

Lakini kwenye hii Sensa kila mtu hana majibu.

Makarani kwenye mikoa yote baadhi wamesomewa na maeneo mengine hawajui watalipwa nini.

Mbaya zaidi Walimu wao ,yaani wakufunzi wa mafunzo hawajui watalupwa pesa Kiasi gani.

Yaani kika wilaya na Kila mkoa una malalipo yake.

Yaani ukiwauliza Mbeya ambayo ni jiji wanatofautiana na Dar es salaam ambao ni jiji na ni tofauti na Dodoma na Mwanza.

Ukiuliza Mtwara manispaa,ukalinganisha na Shinynaga,Kigoma na Tabora kila manispaa wana malipo yake.

Hakuna mwongozo wa kitaifa kwa zoezi hili kujua kila kundi lilipwe nini kwa utaratibu gani ambao utarahisisha ukaguzi wa hizo fedha za Umma.

Yaani malipo ya Makarani,Wakufunzi na ITs yanategemea huruma ya Mratibu wa Mafunzo wa Mkoa.

Kukosa mwongozo kunaweza kuwa kwa bahati mbaya au Mkakati wa wizi uliondaliwa kuanzia Ngazi ya taifa.

Mwigulu Nchemba anafanya kazi nzuri sana ya kutafuta pesa,lakini asipoingiliankati fedha itatumika na lengo halitafikiwa.

Sensa inaelekea kuharibika,Watu wa usalama wapo,Takukuru wapo ,saidieni serikali kudhibiti ujinga unaofanywa na baadhi ya Maafisa wa Serikali.

Mlisema Rais Magufuli alikuwa anafanya kika kitu yeye mwenyewe,alilenga kukomesha huu ujinga wa mazoezi ya kitaifa kukosa mwongozo uliowazi.

Raisa Samia kawapa uburu ili mumsaidie kwa kutumia elimu zenu,mnachofanya mnafanya watu wamuone kashindwa kuwasimamia.mnamuharibia.

Wizara ya fedha au Ofisi ya waziri Mkuu itie mwingozo haraka,watu walulwe kwa wakati kwakuea Bajeti ipo na fedha zimeshatolewa.

Kendelea kukaa kimywa wakati kuna manung'uniko kwenye madarasa yote ya Mafunzo,mtaharibu zoezi.
Bado mnaweza kuweka vizuri Mambo na watu wakarudi kwenye marali ya kufundisha na kujifunza.

Mliopo karibu na Mwigulu na Waziri Mkuu mfikishieni huu ujumbe.
 
Mi kwa kauli hii ya huyu mama sidhani kama watu hawajapigwa hapa.
Kwa nini hii chorus ni maarufu sana linapofikia Kwa watu wa level ya chini.Yeye alikuwa Mbunge na Spika wa Bunge Uzalendo wake aliwahi kuuonyesha wapi ikiwa siku zote alilipwa. Huu Uzalendo hebu uanzie kule bungeni watu wapunguze posho zao maana haiingii hakilini posho ya mtu kwa siku ni sawa na mshahara wa mtu kwa mwezi mzima
 
Sensa imekosa coordination,na serikali inapaswa kuingilia kati haraka kabla mafunzo hayajaharibika.
Uhuni wa Sensa upo hivi.

Ni zoezi pekee lisilokuwa na mwongozo wa malipo kwa wahusika,kama mwongozo upo basi Waratibu wa sensa Mikoa na wilaya wameificha.

Mazoezi yote ya kitaifa huwa yanaanza na kutaja maslahi ya washiriki kwa kika kundi,ili kuondoa sinto fahamu huwa wanansomewa siku ya kwanza.

Huwa inafanywa hivyo kwa mazoezi nyeti ya kitaifa.

Lakini kwenye hii Sensa kila mtu hana majibu.

Makarani kwenye mikoa yote baadhi wamesomewa na maeneo mengine hawajui watalipwa nini.

Mbaya zaidi Walimu wao ,yaani wakufunzi wa mafunzo hawajui watalupwa pesa Kiasi gani.

Yaani kika wilaya na Kila mkoa una malalipo yake.

Yaani ukiwauliza Mbeya ambayo ni jiji wanatofautiana na Dar es salaam ambao ni jiji na ni tofauti na Dodoma na Mwanza.

Ukiuliza Mtwara manispaa,ukalinganisha na Shinynaga,Kigoma na Tabora kila manispaa wana malipo yake.

Hakuna mwongozo wa kitaifa kwa zoezi hili kujua kila kundi lilipwe nini kwa utaratibu gani ambao utarahisisha ukaguzi wa hizo fedha za Umma.

Yaani malipo ya Makarani,Wakufunzi na ITs yanategemea huruma ya Mratibu wa Mafunzo wa Mkoa.

Kukosa mwongozo kunaweza kuwa kwa bahati mbaya au Mkakati wa wizi uliondaliwa kuanzia Ngazi ya taifa.

Mwigulu Nchemba anafanya kazi nzuri sana ya kutafuta pesa,lakini asipoingiliankati fedha itatumika na lengo halitafikiwa.

Sensa inaelekea kuharibika,Watu wa usalama wapo,Takukuru wapo ,saidieni serikali kudhibiti ujinga unaofanywa na baadhi ya Maafisa wa Serikali.

Mlisema Rais Magufuli alikuwa anafanya kika kitu yeye mwenyewe,alilenga kukomesha huu ujinga wa mazoezi ya kitaifa kukosa mwongozo uliowazi.

Raisa Samia kawapa uburu ili mumsaidie kwa kutumia elimu zenu,mnachofanya mnafanya watu wamuone kashindwa kuwasimamia.mnamuharibia.

Wizara ya fedha au Ofisi ya waziri Mkuu itie mwingozo haraka,watu walulwe kwa wakati kwakuea Bajeti ipo na fedha zimeshatolewa.

Kendelea kukaa kimywa wakati kuna manung'uniko kwenye madarasa yote ya Mafunzo,mtaharibu zoezi.
Bado mnaweza kuweka vizuri Mambo na watu wakarudi kwenye marali ya kufundisha na kujifunza.

Mliopo karibu na Mwigulu na Waziri Mkuu mfikishieni huu ujumbe.
Mwongozo upo ila tuseme umefichwa kwa baadhi ya mikoa au wilaya.
 
Back
Top Bottom