Tetesi: NCCR - MAGEUZI kuitisha Mkutano Mkuu ili kutangaza kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM 2020

Tetesi: NCCR - MAGEUZI kuitisha Mkutano Mkuu ili kutangaza kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM 2020

Chadema (wananchi) against takataka za Ccm na ccm yenyewe
Hahahaha takataka za chadema hujawahi zisikia Jomba hata zile wanazozungumza wabunge wenu wanaohama..? Hebu fuatilia then uje na majibu sahihi
 
Hahahaha takataka za chadema hujawahi zisikia Jomba hata zile wanazozungumza wabunge wenu wanaohama..? Hebu fuatlia then uje na majibu sahihi
Ukiendelea kuandika ujinga Ignore option itakuhusu
 
Dalili ya mvua ni mawingu. TLP, NCCR, CUF, kwa sasa siyo vyama. Ni VIRUSI
Si afadhali ya kirusi unaweza pona kama kirusi cha Corona. Sasa hiyo saccos ya chadema mtatokaje hapo Jomba.
 
Inasemekana haya ni moja ya Makubaliano yaliyofikiwa kutokana na vikao vilivyofanyika Ikulu kati ya Mwenyekiti wa ccm na James Mbatia , Nipe nikupe !

Sasa kwa vile kikao hiki kitaitishwa hadharani basi tuendelee kusubiri na kujionea maajabu yaliyochanganyika na aibu .

ilianza TLP , sasa NCCR- MAGEUZI , je itafuatia CUF ?

Tunawatakia kila la heri .

Mbatia mwisho wake kisiasa ni 2020 baada ya hapo anaenda kuungana na Cheyo na Mrema au hajifunzi kwa Lipumba?
 
Mambo haya yataishi siku mjinga yule muda wake wa kukaa ofisini utakapoisha.

Hata hivyo, uzuri wa matukio haya ni kuwafanya wananchi waendelee kuamini kuwa CHADEMA ndio chama pekee cha upinzani kwa sasa.
 
Mambo haya yataishi siku mjinga yule muda wake wa kukaa ofisini utakapoisha.

Hata hivyo,uzuri wa matukio haya ni kuwafanya wananchi waendelee kuamini kuwa CHADEMA ndio chama pekee cha upinzani kwa sasa.
Unajidanganya Jomba. Kama huamini basi hata wale wabunge wanaohama wanasema uongo sio. Hata wale mawaziri wakuu wastaafu nao unasemaje
 
Back
Top Bottom